Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Baada ya Netanyahu kushinda Chama chake cha Likud kimepata ushindi wa kishindo kuliko miaka ya nyuma.
Netanyahu ataazimia kuunda baraza la mawaziri kwa kuwashirikisha vyama vyenye misimamo mikali kama likud ambayo itaifanya serekali ya netanyahu kuwa na nguvu kubwa ya maamuz tofauti na miaka mingine.
Kipaumbele cha Netanyahu ni kuzuia Iran kijeshi na huenda akafanikiwa kwa kuungwa mkono na Mawaziri na Wabunge wengi wa Likud na vyama vyenye misimamo mikali na huenda Israel ikazidi kutengwa na kudorora kiuchumi kutokana Na misimamo ya Netanyahu na kuhusu Palestina huenda Chama cha Fatah kikaungana na Hamas na wakaanza mapambano dhidi ya Israel kwa sababu ya sera mpya za Netanyahu za kuhakikisha kuwa no palestinian state
awamu hii israel itakua na changamoto km iran,hzbullah,hamas,na fatah[hamas mpya].
Netanyahu ana kibarua kizito cha kupunguza umasikini mkubwa wa Waisrael sambamba na kuboresha huduma za jamii na miundo msingi
NAWASILISHA KWENU.