Ushindi wa Netanyahu tahadhari kubwa kwa Iran

Ushindi wa Netanyahu tahadhari kubwa kwa Iran

Iran ina teknolojia kuliko israel uwezo wa kijesh wa iran ni mkubwa sana
 
Iran ina teknolojia kuliko israel uwezo wa kijesh wa iran ni mkubwa sana mara 4 ya ixrael
 
Wa-Iran wapo Pamoja na WARUSI ondosha shaka hiyo ndio maana M-Marekani hamruhusu Mu-Israil amshambulie Mu-Iran anajuwa moto utawaka ambaoa kuzimika kwake itakuwa ni vigumu.

Once the super power nations get into war against one another, its been termed as a World War. Na hiyo ndio itakuwa vita ya tatu ya dunia.
Kumbuka dunia inajitahidi kuepusha hii kitu, ila kutokana na national sphere of influence s and interest ya mataifa makubwa, vita kuwa duniani haitakwepeka seriously am telling you. Tusubili tu
 
viongoz wapenda vita km netanyahu watailetea dunia matatzo xana mfn ww3
 
Back
Top Bottom