Ushindi wa Mayweather utata

284D9B6B00000578-3067387-image-m-2_1430755908818.jpg
 
Ngumu kumuelewa mayweather kama huangalii akili anayoitumia ulingoni,punch zake nyingi zinafika na ndio point ila yeye anajilinda mno,kama leo pacquiao karusha ngumi nyingi na kushambulia ila chache mno ndo zimempiha mayweather ila za mayweather nyingi zimetua na ameshinfa round nyingi kuliko pacquiao.



Ukiangalia juu juu utaona kabebwa ila kiutaalam huu ni ushindi wa waza kabida

wajuaji wenzio wanasema hata ngumi hizo nyingi karusha Mayweather...unasemaje hapo? kusoma hujui, hata kuangalia picha? ni full uchakachuaji tu
 
Mkuu uko sahihi kabisa, Mourinho na Mayweather wako sawa kabisa. Kwao haijalishi wanachezaje, cha msingi ni kushinda tu. Mbinu za Mourinho zinajulikana kama "anti football", kwa hiyo Mayweather naye ni "anti boxing".

anti-football or not huwezi kufananisha na hii ya mayweather

Mourinho anachokifanya ni strategy..lakini at the end of the day Chelsea inashinda..na sio inapendelewa

tunaolalamikia ushindi wa mayweather tunasema kapendelewa..kama angekimbia kimbia na bado akashinda kihalali I would have nothing against him except kwamba kafanya pambano lisiwe tamu

tukirudi kwa chelsea..kazi ya timu na manager sio kuwafurahisha wapinzani kama wewe na wengineo haters kama wewe..ni kuwafurahisha mashabiki wake mainly kwa kuchukua point tatu au kusonga mbele katika mashindano hata kwa draw kama inafaa

as long as unaowaona pro-football wanashindwa kumshinda Mourinho then Mourinho ndo pro-football maana football means winning..otherwise kuna PS Games as an alternative!
 
Nilijua kuna watu kama wewe ambao hamtanielewa; mtaduwaa tu! hizo ni hard facts kuhusu ushindi wa floyd Mayweather; amesinda fair and square! server ya Jf is there for that purpose; solid minds zinazojua kitu na kutafiti kitu zibadilishane mawazo na kuweka records straight; sio server ijae opinions ambazo ni "emotion na infatuation" based! Bs

hard fact? kwamba mayweather karusha ngumi nyingi kuliko pac ni hard fact? kama ni kweli namfuata mwalimu wangu wa kiingereza anibadilishie maana ya hard fact!!!
 
Hawa mabondia wakubwa mapambano yao huwaga hata hayafurahishi sana, wanakuwaga tense sana. Mi napendaga mapambano ya utangulizi, vijamaa vinatimbanaga hatare. Sema watu tu wanakuwaga wanasubiri pambano kuu ndio maana hawatiliagi maanani.
 
Umesema kweli kabisa.We mtu anakimbiakimbia tu muda wote halafu eti kashinda mhhhhh haingii akilini kabisa.Watu tumekesha kusubiri ngumi halafu mtu anaingia uwanjani anaanza kukimbia tu muda wote ni wapi na wapi?
 
Hivi ndio pacman alivyopigwa. Tuache ushabiki bila kuangalia ukweli.
ImageUploadedByJamiiForums1430887620.273491.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1430887667.483645.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430887696.700834.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430887720.956050.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430887825.268307.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430887953.519105.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430887986.157626.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430888019.628419.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430888038.849632.jpg

Mayweather amepiga ngumi nyingi sana za wazi usoni mwa pacman, pacman amepiga ngumi nyingi mwilini kwa mwenzie, japo mayweather hakupiga power punch za kuweza kumuangamiza pacman lakini nyingi zimetua sehemu ambayo inapoint nyingi katika ngumi.
Ama kwa swala la kukimbia ulingoni hizo ndio style zake. He moves around so much na ndio maana ulingo una uzio wake, kwa maana kwamba bondia anaruhusiwa kuuzunguka atakavyo.
Watu mnaongea utadhani Mayweather aliyoka nje ya ulingo akaanza kutiririka kwa mashabiki kama kwenye wwe!!!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1430887599.426661.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1430887599.426661.jpg
    31.8 KB · Views: 125
  • ImageUploadedByJamiiForums1430887766.760236.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1430887766.760236.jpg
    38.7 KB · Views: 128
Mayweather kasema atarudiana na Manny 2016
Source business insider
 
Umesema kweli kabisa.We mtu anakimbiakimbia tu muda wote halafu eti kashinda mhhhhh haingii akilini kabisa.Watu tumekesha kusubiri ngumi halafu mtu anaingia uwanjani anaanza kukimbia tu muda wote ni wapi na wapi?

Kuna tofauti kayi ya BOXER na Fighter, Boxer huwa hafurahishi mashabiki ye huwa anascore point tu ila Fighter yeye huwa ndio anafuraisha mashabiki kwa maana huwa anataka kupiga round 4 amalize pambano watu watoke.

Kama unakumbukumbu mzr Manny alikuwa anapiga ngumi nyingi kwenye groves alafu Money akawa anamkejeri kwa kutikisa kichwa kwa kumaanisha alichokuwa anakifanya kazi bure kwan hakuwa anascore point hata moja
 
Back
Top Bottom