Ushindi unakuja CHADEMA

Fungua thread zao hapa tunajadili ushindii wa chadema,usitutoe.nje ya mada dada
 
Fungua thread zao hapa tunajadili ushindii wa chadema,usitutoe.nje ya mada dada
Kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo basi una tatizo linalohtaji ufumbuzi wa kitabibu. Mleta mada kaongelea siasa na mukakati yao kama Chama na akawatia moyo wenzake kutokatishwa tamaa na vikwazo wanavyokumbana navyo. Mwisho akaahidi ushindi. Ukatoka ulikotoka na kuanzisha habari za maisha binafsi ya mtu mmoja tena ukijumuisha kwa pamoja utadhani tukio lililompata limefanywa na Chama chote. Nami nikakupa mifano ya maisha ya Marais 3 ambao wamekuwa wenyeviti wa chama chako kwa miaka 25. Tena nimemuacha makusudi mmoja ambaye ni mlevi Komba aliyeviziwa na mkewe akiwa amelewa na kuteguliwa mguu. Nakisihi usihusishe maisha binafsi ya watu maana wa upande wako ni wachafu kuliko unavyojidanganya.
Au unadanganywa na maneno ya kina Msukuma ukadhani ni wasafi? Hiyo Ngwengwe aliipata wapi kama siyo mzinzi? Sauti kavu aliyonayo inatokana na nini kama si pombe kali tunayomuona anabugia kila siku?
 
We are fighting for a noble cause!maisha bora kwa kila mtanzania,ustawi wa jamii ya watanzania,Haki,Uhuru etc
mabadiliko ya kweli na uhuru wa kweli...yes baadhi yetu wamekuwa na bei hii ni kawaida hata enzi za mabeberu huko Afrika Kusini baadhi walisaliti a cause!baadhi wakasimama imara and paid the price
 
Haya mafuasi ya chadema ni mafala sana kama mafuasi ya kinjekitile, aliyewaita manyumbu hajakosea kabisa. Ushindi huo labda kushinda nyumbani mkiosha vyombo na mahawala zenu.
Kama kwako Kinjekitile alikuwa fala na nyumbu basi wazazi wako wana hasara kubwa
soma historia ya nchi ujue mchango wa machifu kwenye uhuru wetu walau huu wa bendera
 
Hatuwezi kuwapa nchi wazinzi
Kama tu mnaweza kusaliti ndoa zenu mpaka mnateguka miguu,mkipewa dola ,mtatafuna wanawake wa nchi nzima
Andishi lako ni kielelezo cha tatizo lako la lishe duni ambalo limesababisha utapiamlo wa kichwani
pole
 
Wanachuo wa kampasi ya Mazimbu Sua mna matatizo Sana..
Yani unataka kuanza kulinganisha kijana smart kama Solomon kulash Mahlangu na vitu vya kijinga kama Chadema, chama kinachopngozwa na walevi+Wazinifu.
 
Bila kuwa na tume huru ya uchaguzi ni kupoteza muda kaka.
Kinachonishangaza kwa hivi vyama vya upinzani ndio hicho.

Wanajua dhahiri bila tume huru ya uchaguzi hawawezi kushinda hata wafanyeje...lakini ataona wanang'ang'ania kushiriki uchaguzi.
Wakishashindwa wanaanza kulaumu.
Ajabu kabisa.
 
Na wewe kweli unaipenda ccm au tumbo lako?
 
Hatuwezi kuwapa nchi wazinzi
Kama tu mnaweza kusaliti ndoa zenu mpaka mnateguka miguu,mkipewa dola ,mtatafuna wanawake wa nchi nzima

Siasa za kitoto sana . Yule dc alikwenda wapi na alikuwa na nani?
 
Kinachonishangaza kwa hivi vyama vya upinzani ndio hicho.

Wanajua dhahiri bila tume huru ya uchaguzi hawawezi kushinda hata wafanyeje...lakini ataona wanang'ang'ania kushiriki uchaguzi.
Wakishashindwa wanaanza kulaumu.
Ajabu kabisa.

Washiriki kampeni huku wakilazimisha tume huru ya uchaguzi, na kama haipo hakuna kushiriki siku ya kupiga kura. Lazima huo uchaguzi tuuharamishe.
 
Hatuwezi kuwapa nchi wazinzi
Kama tu mnaweza kusaliti ndoa zenu mpaka mnateguka miguu,mkipewa dola ,mtatafuna wanawake wa nchi nzima
Na huyo wa kwenu anayezalisha mpaka wake za watu, au mnadhani hatuyajui? Mbona wote ni wazinzi tu?
 
daah! ila chadema mna roho ngumu!!,yaani kubongonyoka kote huku bado mnaota ushindi!! wenzenu wanawaza kumwongezea muda
ila nimependa "spirit" yenu
 
Wanachuo wa kampasi ya Mazimbu Sua mna matatizo Sana..
Yani unataka kuanza kulinganisha kijana smart kama Solomon kulash Mahlangu na vitu vya kijinga kama Chadema, chama kinachopngozwa na walevi+Wazinifu.

jadili hoja acha personal attacks.Ila tatizo lako ndio hili kuwa na utapiamlo kichwani
 
Na wewe kweli unaipenda ccm au tumbo lako?
Napenda chama chochote kinacho jali wananchi wake. Wewe huitaki CCM sababu ya viongozi wa zamani na visalia vyao vichache katika uongozi huu wa awamu ya tano. Lakini tangu Dr. Magufuli awe mwenyekiti wa CCM (sisemi Rais), CCM imebadirika siyo ya kupenda tumbo tena. Ila tu kwa visalia tu na wale wenye mawazo ya ccm ya zamani.
 
Nyinyi ubaya wenu hayo mnayatamka tu hamuwezi kuyatekeleza! Mfano wenu ni kama mama mwenye mtoto anayeumwa kwashiakor akienda clinik na akaulizwa mtoto anampa chakula gani - anaanza; maziwa, mayai, Samaki, dagaa na uji wa lishe na ninamnyonyesha!
Sasa CHADEMA mko hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…