Asubuhi ya leo wakati akiwa kwenye mdahalo na Dr. Slaa, mdahalo ulioendeshwa na Star tv kwenye kipindi chake cha "tuzungumze asubuhi". Meneja wa kampeni wa mgombea Urais wa Chama Chama Mapinduzi Abdul Rahaman Kinana amesema kwamba ili uchaguzi wa mwaka huu uwe wa haki,huru na kumalizika kwa salama ni lazima kwa vyama vyote vinavyoshiriki vijue kwamba ushindi si lazima.
Sasa ile kauli mbiu yao ya mwaka huu kwamba "USHINDI NI LAZIMA" haina maana tena!!??
Meneja wa kampeni wa mgombea Urais wa Chama Chama Mapinduzi Abdul Rahaman Kinana amesema kwamba ili uchaguzi wa mwaka huu uwe wa haki,huru na kumalizika kwa salama ni lazima kwa vyama vyote vinavyoshiriki vijue kwamba ushindi si lazima.
Mkuu, haikuwa rahisi kwa Kinana kutamka hivyo. Alilazimika kusema hivyo baada ya Dr. Slaa kutoa maana ya kauli "ushindi ni lazima", kwa hiyo Kinana akawa na wakati mgumu, na njia rahisi iliyokuwa imebaki ni kukubaliana na Dr. wa ukweli kwamba Ushindi si Lazima ! Nina wasi wasi jamaa ataitwa na Makamba ili ajibu ni kwa nini amefanya mjadala katika TV na hali CCM ilishawapiga marufuku wanachama wake kushiriki aina yoyote ya mdahalo (kwani ilijua watabanwa na kuongea wasichotarajia kama ilivyomtokea Kinana). Sidhani kama JK atasimama kuongea tena kwamba "ushindi ni lazima" kwani meneja wake ameshamsaliti!Sasa ile kauli mbiu yao ya mwaka huu kwamba "USHINDI NI LAZIMA" haina maana tena!!??
Asubuhi ya leo wakati akiwa kwenye mdahalo na Dr. Slaa, mdahalo ulioendeshwa na Star tv kwenye kipindi chake cha "tuzungumze asubuhi". Meneja wa kampeni wa mgombea Urais wa Chama Chama Mapinduzi Abdul Rahaman Kinana amesema kwamba ili uchaguzi wa mwaka huu uwe wa haki,huru na kumalizika kwa salama ni lazima kwa vyama vyote vinavyoshiriki vijue kwamba ushindi si lazima.
Sasa ile kauli mbiu yao ya mwaka huu kwamba "USHINDI NI LAZIMA" haina maana tena!!??
Alie nayo hii historic video ya mdahalo huu wa mwishoni mwishoni aweke kweney you tube tuchambue kuchanganyikiwa kwa ccm
Kwa matamshi ya Kinana nadhani wao wameshaona kwamba wanashindwa lakini lengo lao ni kupotosha matokeo ya kura zitakazopigwa. kama wao walishachapisha vipeperushi vyao na kusema kwa hakika kabisa kwamba "USHINDI NI LAZIMA" kwani kimetokea nini hadi waanze kuvisihi vyama vingine kukubali "kushindwa" kama wao hawana nia mbaya ya kuiba kura?Kinana: Sasa, Ushindi si Lazima...............Duh, Hawakutarajia kama waTZ wapole wanaweza kuwageuka kirahisi hivyo.
Watu wamechoka sana na dhuluma na umaskini. wakati tuna kila kitu TZ. MUNGU AMESHAIBARIKI TZ: