Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Nilitokea demu mmoja ana rafiki wengi wazuri, cha kushangaza demu mwenyewe ananiwekea mapozi sasa kasafiri huko mikoani rafiki zake wananishobokea sana wananitega hivi nikitoka na wote kimya kimya nikala mizigo **** tatizo. **** mmoja rafiki yake ananitega mpaka nimeshindwa kuvumilia ananigusa na makalio yake makubwa afu mabichi kichokozi anaangalia zipu yangu kila nikikutana naye.