princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,357
Huyo mwanao ana tabia gani mbaya?Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
Ni ngumu kwa sana kwa mama wa kambo kumpenda mtoto asiye wake. Hii kitu sikia tu kwa wengine. Tena mbaya zaidi ukute huyo mama wa kufikia hana mtoto. Naanza kukuelewa mkuu. Story saingine ikiwa nusu ni rahisi mtu kuhukumuMama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
Duh mbona una changamoto mkuu tatzo ni nini adi inakuwa hiv? Huyo mkeo wa pili ujazaa nae ?Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanawake tumeumbiwa huruma niko hapa laazizi,tena afadhali una mtoto mana sifikirii kuzaa
Achana na huyo alie achika, njoo kwangu mimi nikakuoneshe kaburi kabisa...🤗wanawake tumeumbiwa huruma niko hapa laazizi,tena afadhali una mtoto mana sifikirii kuzaa
Tumeremba sana hakuna tulichoambulia... ngoja twende direct ukanda wa gaza huwenda tukakanyaga bomu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mapemaaa, hujataka kuremba muandiko..
Nimewaza kwa mapana: iwaje mama wa kambo afikie kukuchagulisha kati yake na mtotoUnafikili mtoto wa miaka 8 tena bint atakuwa na tabia mbaya ambayo ww mzazi mwenye miaka 30 na kuendelea kushindwa kuirekebisha?? Waza hili kwanza.
Konk ujumb mzuriKimkakati sana hili bandiko.
Ila sijaona ni wakati gani unafuatilia maendeleo yake Mkuu, kama mzunguko wa maisha yenu upo hiv ulivyoelezea huyo binti yupo kwenye mazingira hatarishi sana tofauti na vile unavyoweza kufikiri.
Huyo binti muda wowote anaweza kuwa mhanga wa ukatili na wala wewe usifahamu/kujua au ukaja kujua ikiwa ushachelewa.
Mtengenezee mazingira rafiki kwa umri wake Mkuu. Usimpore utoto wake ili tu wewe uweze kuishi kwa amani, kuna hatua muhimu sana hasa ikizingatiwa huyo ni mtoto wa kike. Anahitaji kuandaliwa vyema aje kuwa mama wa wanawe pia.
Ni ngumu kwa wengi kuelewa hili swala.

nenda kwa jamaa huyo ukamsaidie kulea mtoto wake, tabia yake utajua hukohuyo mwanao ana tabia gani mbaya?
uoneshe upendo mkubwa kana kwamba umemzaa wewenimewaza kwa mapana: iwaje mama wa kambo afikie kukuchagulisha kati yake na mtoto
usikute mtoto ndo wale dady's princess kama ndo hivo hata mimi mama wa kujitolea ntashindwa! mana mi ndo nataka mtoto anyooke kama rula usafi ndo usafi mtoto aweza ona yuko jehanam
ah nauliza kabla hayajanikuta ya mke mwenza nikaachikanenda kwa jamaa huyo ukamsaidie kulea mtoto wake, tabia yake utajua huko
AMINuoneshe upendo mkubwa kana kwamba umemzaa wewe
HAPANAmungu ❌
Mungu ✅
Fanya kutafuta mke hayo maisha sio kabisa