Ushawahi kupigwa na manati ?

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
fdfe6aee065ede560c85d123d7692a4d.jpg
 
Siwez sahau enzi hizo dodoma karibu na mirembe ndogo kwenye korongo tukamchokoza kichaa flan iv kumbe ana manati.... tumekimbia mzee kumbe niko kwe lnye target za jamaa, e bhana nlipewa kitu.... unajua ile adi unaskilizia 'nzeeeeeeeeeeeeeh' kwe maskio.... nlitokwa sana damu ingawa nilikausha kupeleka ishu maskani, maana ukirud umeumia unakula na kichapo.
 
Manati upinde na mishale yake ni hatari sana mtu anaweza kuwa amejificha mkawa mnachukua kimya kimya
 
Maumivu yake sitosahau mtoto alikuwa amemlenga ndege ghafla nikatokea mimi, ndege karuka jiwe likanipata kwenye mkono, ni maumivu ya ajabu
 
Back
Top Bottom