Ushawahi kupiga chabo ..!

Ushawahi kupiga chabo ..!

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,454
9564bae0b72eddf0c88225b3557fca59.jpg
 
Umenikumbusha jamaa mmoja mtaani kwetu nikokulia alikuwa mpiga chabo maarufu, alikuwa na kiti kwa ajili ya kupanda madirisha marefu na kofia anavaa kwa kuigeuzia nyuma hivyo mtu akimatazama kwa mbali kama anatazama upande wa nyuma.
 
Pichani sio chabo hiyo!!!
Anamgongea dirisha demu wake amfungulie atinge ndani "wakaongee"
Kweli mdau! Picha ya chabo kawaida yatakiwa kuishia kwenye magoti au chini zaidi ili dalili za milipuko ya volkano zionekane!
 
Umenikumbusha jamaa mmoja mtaani kwetu nikokulia alikuwa mpiga chabo maarufu, alikuwa na kiti kwa ajili ya kupanda madirisha marefu na kofia anavaa kwa kuigeuzia nyuma hivyo mtu akimatazama kwa mbali kama anatazama upande wa nyuma.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hatari sana
 
Kuna jamaa skuli walikuwa wanamtindo wakwenda kuchabo kwenye nyumba za walimu kilchowapata ni aibu shule assemble
 
Kuna jamaa tulimkuta dirishani mitaani tulipokuwa tunatoka kwenye kigodoro ilibaki kidogo tumshushie kipigo tukakuta anapiga story na demu wake ambaye yupo ndani ya nyumba hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom