Ushawahi kung'atwa na ng'e au tandu?

Ushawahi kung'atwa na ng'e au tandu?

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
Soma hapa kufahamu namna ya kudhibiti maumivu na sumu ukiwa nyumbani.

NGE-- Maumivu yake ni ya masaa 24 na sumu inadumu kwa muda mfupi, Na Ukumwona ukimuua hapo mwisho wa sumu yake.
Au wanasema kata kimkia chake.

TANDU-- Sumu yake kali inakimbilia kifuani na kooni mpaka kichwani sumu yake inafukuta kama
pilipili mwili mzima. Huyu ni hatari kuliko nge.

Ichukuwa masaa 12 Ukimwona muue sumu yake itasimama.

TIBA--Alipo kuuma pakamue kisha Chukua majivu kologa kikombe cha nusu lita kunywa kwa siku ×3, Utakuwa umejitubia ukiwa nyumbani.

Unapoona mabadiliko usisite kwenda hospitali kwa tiba zaidi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1745042646300.jpg
    FB_IMG_1745042646300.jpg
    48.8 KB · Views: 13
️USHAWAHI KUNG'ATWA NA NGE AU TANDU ?

SOMA HAPA KUFAHAMU NAMNA YA KUDHIBITI MAUMIVU NA SUMU UKIWA NYUMBANI

NGE-- Maumivu yake ni ya masaa 24 na sumu inadumu kwa muda mfupi, Na Ukumwona ukimuua hapo mwisho wa sumu yake.
Au wanasema kata kimkia chake.

TANDU-- Sumu yake kali inakimbilia kifuani na kooni mpaka kichwani sumu yake inafukuta kama
pilipili mwili mzima. Huyu ni hatari kuliko nge.

Ichukuwa masaa 12 Ukimwona muue sumu yake itasimama.

TIBA--Alipo kuuma pakamue kisha Chukua majivu kologa kikombe cha nusu lita kunywa kwa siku ×3, Utakuwa umejitubia ukiwa nyumbani.

Unapoona mabadiliko usisite kwenda hospitali kwa tiba zaidi.
Mkuu sijakuelewa amasha kung'ta sasa ukimuua hiyo sumu ilio kuingia itatoka je?
 
Asante kwa somo zuri naona wengi wanauliza uhusiano wa kumuua na kukata sumu.
inasemekana ukishamuua huyo nge mkate mkia kisha mponde ule ute unaotoka pakaza sehemu alipokuuma inasaidia kupunguza makali ya sumu. Yaan untdot ya sumu yake ni majimaji ya utumbo wake.

Kuhusu tandu sijui zaidi.

Kuhusu majivu naomba wanasayansi watuambie huwa yanawezaje kukata sumu maana hata upupu ukikuwasha wanasemaga ukipaka majivu muwasho unapungua
 
Bro, Tandu wamejaa sana Kanda ya kati nikimuona nasisimkwa hadi kalio yani na sio mshari anaweza kukutembelea ukiwa umelala na ask Kung’ate sasa mkung’ute uone

My uncle aliumwa na huyu alikuwa admitted kwa siku nne na yeye ni giant wenye miili karatasi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
Back
Top Bottom