Ushawahi kumuona Martin Kadinda???

Ushawahi kumuona Martin Kadinda???

2.jpg
 
'kumbe hadinda mi nksajua anadinda asee basi watu lazma siku watashangaa wakimuona martin kadinda asee kweli nimeunganisha dots flani hivi now i can get a picture asee...'
 
Nashindwa kujibu yes wala no maana kiukwel nimewahi kukutana na Martin, ila ukiniuliza kuwa Umewahi kumuona Martin Kadinda? Nitabaki na Kigugumizi.
 

"Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda U-smart anautinga majumba mandinga ya bwana almasi,je hizi tracks za harakati ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji na umaarufu au kutamba kushika namba ni Bahati"
 
I know this dude nilikua nae iringa alifukuzwa pale tosa kwa kutangazwa assemble na mkuu wa shule maana alikamatwa anafanywa mchezo mbaya na mwenzie sasa wanavyo mpaisha paisha sijui wanatangaza vitu gani unless awe aliacha ule mchezo mchafu.
Vingenevyo si balozi mzuri kutajwa tajwa kwenye nyimbo
[emoji849]duuh
 
Back
Top Bottom