Ushawahi kumpenda mpenzi wa rafiki yako

ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
2,805
Points
2,000
Age
49
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
2,805 2,000
Hizo tabia zenu wadada hahahaha ingawa siku hizi na wanaume tumeanza kupoteza code za kiume na kuanza kutamani mashemeji zetu lakini hii haikuwahi kuwa tabia ya kiume hata kidogo..

Unaweza gonga group la wadada hata kumi kama upo na mmoja
 
K

kichumvi Uboho

Member
Joined
Mar 8, 2019
Messages
16
Points
45
K

kichumvi Uboho

Member
Joined Mar 8, 2019
16 45
Yeah nimewahi
Siku moja (2012)jamaa yangu aliniambia kuna demu wake anataka kuja gheto nikamruhusu,basi alipokaribia mimi nikasepa nikamuachia room kwa makusudi yule demu akaja na rafiki yake jamaa ikawa ngumu kula mzigo mwisho wa siku akanishtua nirudi kweli nilipofika nikamkuta na huyo demu asee ni mkali balaa ila best yake alikua wa kawaida,,

Basi ikabidi demu asepe bila kuliwa,mimi nikaanza mazoea na yule best wa shemeji yangu mpaka nikala mzigo ila tuliacha kwa vizinga ilikua kila mda yeye afadhali nimekuona,afadhali umepiga tabu tupu,,baada ya muda mwanangu na demu wake walikua hawana maelewano hasa kutokana na tabia za mshikaji wangu ikapelekea kuachana.

Baada ya kuacha nilimlaumu sana jamaa maana demu alimpenda sana mshikaji ila ndo sikio la kufa halisikii dawa,,ikapita kama miezi 9 bila mawasiliano mpaka kuna siku nipo k/koo nakutana nae yule manzi hakika nilikua namwelewa sana tukaongea kwa furaha tukabadili namba za simu.

Mawasiliano yalianzia hapo tuliwasiliana sana ukaribu uliongezeka zaidi mpaka jamaa akaja kujua nikamweleza jamaa hakumaind wala nini akasema mkuu wewe kula,,,nikaanza kutupia ndoano mdogo mdogo asee miezi karibu 4 ananisumbua mpaka akaamua kutopokea wala kujibu simu zangu basi baada ya kuona hivyo nikaamua kupotezea mazima.

Baada ya kama mwez na siku kadhaa tangu kisanga cha kupotezea alinicheki kwa namba nyingine akaomba tuonane tulipoonana tuliongea mengi na nikasisitiza ninamwelewa japo aliwahi toka na jamaa basi akakubali tukawa wapenzi maisha yaliendelea ugumu ukawa kula kitumbua,lakini nikavumilia mpaka siku akakubali nikapata mzigo toka hapo tukawa kama mke na mume akawa hakauki gheto nami niseme nilimpenda siriazi kisanga kikawa kwa mwanangu akaanza kumaindi sasa ile hali ugomvi mimi na yeye ukawa mara kwa mara akisisitiza nimpige chini nikawa napinga.

Hali iliendelea mpaka demu akakata mguu kuja home akanitaka nihame pale ndo aje nikasema fresh nilipohama mapenz yakaendelea nilijiuliza jamaa alikosa nini mpaka akamuacha na kumfanyia vitu vya hovyo yule manzi hakika alikua mtiifu sana na alijua kupenda, lakini ugomvi mkubwa mimi na yule manzi alikua anataka ndoa nami kuoa nilijiona kijana sana sikuwa tayari hicho ndicho kilichotutenganisha maana alikuja kuolewa na mpaka leo najuta kwanini nilimpoteza na baada ya kumpoteza tu urafiki na jamaa yangu haukuwa tena na mgogoro..
 
Pendael24

Pendael24

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Messages
2,331
Points
2,000
Pendael24

Pendael24

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2014
2,331 2,000

stori yako umeipangilia vizuri mkuu, ila nimejifunza na kujua mwanamke kabla ya kuolewa huwa anpitiwa na wengi mno!!
 
Forum statistics

Threads 1,294,203
Members 497,843
Posts 31,168,166
Top