Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
Kumtamani hiyo inatokea
umewahi?
umewahi?
Kumtamani hiyo inatokea
.jamani naye akakubali kuliwa kabisa
umewahi?
Kupenda watu wawili inawezekana sanaUtapendaje watu wawili kwa wakati mmoja...That's not Love,That's Lust!
"Love is so complicated"
Hahaha Aisee kwa hiyo mkashare mhogo mtu na best yakeNilivyokuwa chuo first year Mimi na best yagu tukawa tunawaadmire machalii flani ambao ni mabest pia. Mimi nikawa namkubali mmoja na yeye anamkubali mwingine..ilikuwa Siri yetu tukiwaona tunafurahi kinoma.
Sijui ikawaje best yangu akawa na mahusiano na yule kaka ninae ninae mzimikia mie, iliniletea shida kias flani lakini nikapotezea maisha yakasonga. Sijui ikawaje..bwana shemeji akanizoea sana na kuniambia alikuwa ananizimikia tangu kitambo, nilivyotoka likizo nikamletea Zawadi ya konyagi niliyoiiba home...he he he kilichotokea hapo sisimulii Tena. Jamaa ni mshkaji mpaka leo.
Bidada alikuja kuambiwa kuwa natoka na jamaa yake niliruka na kuapa viapo vyoteee, na yeye bado ni rafiki yangu hata sasa.
Best yangu alikosea maana alijua kabisa mi namtaka yule jamaa ye akaenda kujilengesha.Hahaha Aisee kwa hiyo mkashare mhogo mtu na best yake
Sawa bhnaBest yangu alikosea maana alijua kabisa mi namtaka yule jamaa ye akaenda kujilengesha.
Hujambo lakini?Sawa bhna
Niko poa mama, hope na wewe uko njemaHujambo lakini?
Niko poaNiko poa mama, hope na wewe uko njema
Uwe na siku njema mamaNiko poa