Ushawahi kukosa usingizi sababu ya kupoteza pesa?

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,883
3,620
Nakumbuka mwaka 2020 nilipoteza 450k, sikumbuki ikikuwaje ila nilijikuta hela haipo mfukoni na wakati nilikuwa nimeiweka mfuko wa nyuma wa suruali. Aiseee ilikuwa mchana basi nilipata mawazo na Sonono kwa wakati mmoja.

Hiyo siku nilienda kujilaza mapema tu kitandani lakini sikupata USINGIZI hata kidogo mpaka kunakucha. Nllikuwa nawaza tu usiku mzima. Dah haya maisha ya ajabu sana

Ila leo hii najipa moyo kuwa maisha sio pesa tu. Kuna watu wana hela za kutosha na hawapati USINGIZI mzuri, wanalala kwa wasiwasi
 
Back
Top Bottom