UMASKINI 😁 😂 haujawai kumuacha mtu salamaHabari wanaJF
leo nikiwa katika daladala za Buza-Kawe kunatukio limetokea nimeona sio sawa ,
kuna dada alikuwa anataka kushuka kwenye kituo anachotaka kushuka sasa alikuwa bado anadai chenji kwa konda ameanza kumdai kabla ya kufika katika kituo anachotaka kushuka yule konda akawa anamjibu kwani si usuburi nitakupa mpaka anafika kwenye hicho kituo anamwambia shuka nitakupa chini yule dada akawa anagoma baadae akakubali baada ya kushuka yule konda sasa anamwambia mi sina chenji bhana alafu anamwambia dereva tuondoke ikabidi yule dada aanze kukimbiza gari lakini hakufanikiwa kurudishiwa chenji yake.
Sasa kwanini amwambie atampa alafu baadae anamwambia sina chenji kwani alishindwa kuomba chenji kwa abiria wengine?
Au nyinyi mnaonaje kwenye hili?
Sasa kwa nini nyie abiria msimsaidie huyo dada kupata haki yake? Mnaruhusije Dereva kuondoa gari bila mdada wa watu kupewa chenji yake? Wewe ni boya tu. Umenitia hasira sana. Mnakuwa mazombie hadi kwenye issue ambayo imo ndani ya uwezo wenu. Yaani konda na dereva tu anawatisha abiria gari zima. CCM itawaburuza sana kwa uoga huuHabari wanaJF
leo nikiwa katika daladala za Buza-Kawe kunatukio limetokea nimeona sio sawa ,
kuna dada alikuwa anataka kushuka kwenye kituo anachotaka kushuka sasa alikuwa bado anadai chenji kwa konda ameanza kumdai kabla ya kufika katika kituo anachotaka kushuka yule konda akawa anamjibu kwani si usuburi nitakupa mpaka anafika kwenye hicho kituo anamwambia shuka nitakupa chini yule dada akawa anagoma baadae akakubali baada ya kushuka yule konda sasa anamwambia mi sina chenji bhana alafu anamwambia dereva tuondoke ikabidi yule dada aanze kukimbiza gari lakini hakufanikiwa kurudishiwa chenji yake.
Sasa kwanini amwambie atampa alafu baadae anamwambia sina chenji kwani alishindwa kuomba chenji kwa abiria wengine?
Au nyinyi mnaonaje kwenye hili?
Kwahiyo huo umaskini una-justify kwamba alichofanyiwa ni sawa?UMASKINI 😁 😂 haujawai kumuacha mtu salama
Hata nikijibu haito saidia kitu.Kwahiyo huo umaskini una-justify kwamba alichofanyiwa ni sawa?