Ushawahi kufanya hivi kwa mpenzi wako?

Ushawahi kufanya hivi kwa mpenzi wako?

sijabadilisha ila mke wangu yuko free kupekua sim yangu apendavyo...sim ni kama Id yako...kwa nini uwe katika mizunguko yako halafu watu wapige sim apokee mtu mwengine....halafu yeye aanze kutoa direction kwa namba nyengine...ni utoto kwa kweli na sio mapenzi...wanaochepuka wanaweza wakawa na line za siri...pengine ziwekwe kwenye wallets...yote yanawezakana haya..wanaochepuka ni noma....
 
Haitotokea kubadilishana line .... kwanza ili iweje ?maana simu yangu tu ina password kila kona
 
mkuu namlia target atajaa tu kwenye 18. Halafu mbaya zaidi anajifanya mwaminifu mpaka analia hajui kuwa nmemnyaka kila kitu.

sasa unavyomlia target si ndo anazidi kuchepuka zaidi
 
Ushawahi kubadilishana line yako ya simu na ya mpenzi wako?

Nini kilitokea?

Je, uliexpirience michepuko mingapi inayomsumbua?

Au ulijikuta ni njiakuu kwake?

We hujamkuta yuko bikra namba ukae na line yake ya nini! Bwana zake wa zamani wakimkumbuka kama wewe unavyowakumbuka madem zako waliopita wakipiga hafu upokee!!!
 
sasa unavyomlia target si ndo anazidi kuchepuka zaidi

najua acha aendelee ila siku nikimbamba ndio hata rudia tena kwanza ni uhakika hatapendwa na mwanaume tena kwa nitakachomfanya
 
Mm nilikaa nayo mpaka sasa sina imani tena na gf wangu na ninahasira naye sana japo yeye hajui kama namchukia ila kumwacha siwez ila ipo sku lazma nije nimmpe kipondo cha kufa mtu *****


Hii akili ya watu wa zamani hapa kwako inahusika mkuu...
 

Attachments

  • 1401601786983.jpg
    1401601786983.jpg
    48 KB · Views: 239
Ha ha aaah! Mkuu Makomana utaua aisee!!
 
Mm nilikaa nayo mpaka sasa sina imani tena na gf wangu na ninahasira naye sana japo yeye hajui kama namchukia ila kumwacha siwez ila ipo sku lazma nije nimmpe kipondo cha kufa mtu *****

Nmecheka sna, hasa hiyo *****! Dah mim waifu siyo mtaalam sna, hivyo huwa nampa huku kitu kipo offline, babae
 
Unabadilishana namba ya sim kwa maana gan ni kutojiamin hio
 
Haaa!!!! Kitokee au nikishagundua nitake nini haswa?? M mwenyewe sjatulia
 
Mm nilikaa nayo mpaka sasa sina imani tena na gf wangu na ninahasira naye sana japo yeye hajui kama namchukia ila kumwacha siwez ila ipo sku lazma nije nimmpe kipondo cha kufa mtu *****

Hahahahah... Yaani nimecheka mpaka machozi
Hali yako ni ngumu, maanake unamchukia na kumwacha huwezi,. Pole bwn.
 
we sijaribu kukaa na line ya mtu mie...bora niendelee kujidanganya nipo peke yangu tu...
Wewe Demba nakuomba uchepuke na mimi ili nikupe ile kitu toka uzaliwe hujapewa,yaani nitasimamia kucha halafu nakumwagia maji ya moto mpaka unamsahau alie kubikiri au vipi Demba?
 
Nilimwachia ila mpaka leo hajanirudishia,sijui anaitumia yeye....namie wala sijamuuliza!
 
Mpo wapenzi?
Nipo mimi niliekupenda mpaka napagawa baby,njoo PM nikupe mistari minono au vipi?,kumbuka ukija PM hamna mtu atajua,itakua siri yetu wawili tu na tutapeana mautamu mpaka chupi yako itajaa uji wa mapenzi au vipi?
 
Back
Top Bottom