Ushawahi kufanya hivi kwa mpenzi wako?

Ushawahi kufanya hivi kwa mpenzi wako?

Mimi nilimuachia weekend nzima akae nayo ila ilikua line ya kazini, alishangaa kila simu ikipigwa mtu anauliza habari za mikopo tu,kesho yake akanirudishia bila kumuomba.

hahahaa...we kiboko
 
Mm nilikaa nayo mpaka sasa sina imani tena na gf wangu na ninahasira naye sana japo yeye hajui kama namchukia ila kumwacha siwez ila ipo sku lazma nije nimmpe kipondo cha kufa mtu *****

hahahahahaha we jamaa vp?
 
Kwa watu ambao simu/line zao zinahusiana na kazi/biashara hilo haliwezekani maana huyo mpenzi atajibu nini simu zikipigwa?
 
Akiwa waifu afadhali maana asilimia sabini ya watu wake wanakufahamu....kama gf ndo kichekesho....

Hivi kum-trust mtu kuna lazimishwa? Nadhani kama hatuaminiani ni bora tuachane ila sio hivi vibweka.

Ninaweza kukupa simu yangu ila nikakusaliti bila tatizo.

People are becoming smarter than their phones.
 
Mm nilikaa nayo mpaka sasa sina imani tena na gf wangu na ninahasira naye sana japo yeye hajui kama namchukia ila kumwacha siwez ila ipo sku lazma nije nimmpe kipondo cha kufa mtu *****
Kupigana mapenz yazamam ndugu. Sikuiz vifo nje nje waeza mpiga kibao kumbe siku yake imefika unapata kesi.temana nae tu kiaina
 
Mm nilikaa nayo mpaka sasa sina imani tena na gf wangu na ninahasira naye sana japo yeye hajui kama namchukia ila kumwacha siwez ila ipo sku lazma nije nimmpe kipondo cha kufa mtu *****

ha ha haa lini utampa hicho kipondo?
Makomana
 
Last edited by a moderator:
Mimi akinileta suala hilo cha kwanza makofi kama mawili kumuweka sawa akili maana najua itakuwa akili yake imeteguka kidogo.
 
Kubadilishana lin noma jaman, may b kama mmechokana so mnatafuta pa kuachana
 
Back
Top Bottom