masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,179
masai dada kwani una michepuko?
sina ila maboss wanajua sijaolewa anytime wanakupigia kukuassign kazi alafu wafanyakazi wenzangu utani mwingi na maneno ya kipuuzi sitaki nimuuzi hivyo bora nusu shari