Ushawahi kudondoka chini ukiwa unafanya mapenzi?

Hahahahaha, ila huu mpira unaochezwa mpaka nje ya uwanja inaonyesha mmekutana wote viungo washambuliaji[emoji39]
Ila kwa sie tunaekutana beki na golikipa hayo mambo huwa hayatokei[emoji40] [emoji125]
IPO siku isiyojulikna utakutana na hivyo vioja si kwamba yanatokea mara kwa mara
 
Aisee, mpaka nimejikuta natamani itokee hata leo, tatizo wifiyo ni mlokole hasa, tena yule wa kusongea ugali na msalaba, anasemaga hakuna sehemu imeandikwa hivyo vikojoleo tumepewa kwa ajili ya kupeana raha bali ni kuzaliana tu[emoji40] [emoji125]
 
Pole sana, hizi mambo hazihitaji ulokole zinataka kujitoa ufahamu tu ukienda na busara basi kuchepuka hakukwepeki aisee

Hii ishu zikikupanda basi ni karibu na uchizi ndo maana unajikuta mtu mpo room lkn mechi inapigiwa kwenye ukuta huku mmesimama cha fasta yaani ndo mnasalimian sasa
 
Hahahaha mnapeana cha pre-salamu,[emoji3] [emoji119]
Wacha niendelee kupambana na mlokole wangu kuna siku ataelewa automatikale.
 
Mi nilimdondoshea udenda usoni wakati najikunja kuskoo kama Joni Boko!! Cha ajabu haujakatika, yaani kama utando wa buibui!! [emoji2] [emoji2] kusugua raha! Acha tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom