Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,926
Unataka kuyaona au kuyasikiaNdo yapi hayo mkuu?
Unataka kuyaona au kuyasikiaNdo yapi hayo mkuu?
Kuyagusa itapendeza zaidiUnataka kuyaona au kuyasikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuyagusa itapendeza zaidi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukifanya ukija nilipo haitadhuru mkuu
Aisee, hebu tuhadithie kidogo na wewe ulivyoporomoka[emoji40] [emoji125]hujadanganya kitu inatokeaga aisee
hahahahahahaahah
Hebu tuonjeshe angalau katukio kamoja bibie[emoji39]Vyumba vinaona mengi kuna matukio sitayasahau hivi Karibu ni maana ni ya kipekee
Hongereni sana km hamkujeruhi vikojoleo
Kuna siku nilijikuta nimebinuka kichwa chini kama wale wacheza sarakasi huku zoezi linaendelea baada ya kumaliza ndo kila mmoja anashangaaa heeeee nikiambiwa nifanye vile tena siwezi kabisaaHebu tuonjeshe angalau katukio kamoja bibie[emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilijikuta nimebinuka kichwa chini kama wale wacheza sarakasi huku zoezi linaendelea baada ya kumaliza ndo kila mmoja anashangaaa heeeee nikiambiwa nifanye vile tena siwezi kabisaa
We acha tu raha ya kugegeduana isikie tu isikukute[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimejaribu kuitengeneza hiyo style ulivyokua umekaa, nimejikuta nacheka tu,[emoji119] [emoji119]
Kweli kwenye migegedano kuna mengi[emoji3]
Bibie polepole usije mkwaza mtuHadithi yako inatufundisha nini?
Ni hisia zangu kuwa nawe kuna kitu kilishakutokea,ktk mambozi tiririka basi .hujadanganya kitu inatokeaga aisee
hahahahahahaahah
Hahahaha kwakweli bora hiyo raha inipite mbali, unaweza kujikuta umepoteza uhai mkiwa mnagegeduana[emoji40]We acha tu raha ya kugegeduana isikie tu isikukute
Unajikuta ushahonga nyumba ya urithi achana na hiyo kitu maana raha yake haielezekiHahahaha kwakweli bora hiyo raha inipite mbali, unaweza kujikuta umepoteza uhai mkiwa mnagegeduana[emoji40]
Ngoja niendelee tu na Upadre wangu[emoji125]
Amina kwa kweli!!Sijawahi sikia ambaye hana nguvu za kiume
Kweli Jamiiforum imebarikiwa
Hahahahaha, ila huu mpira unaochezwa mpaka nje ya uwanja inaonyesha mmekutana wote viungo washambuliaji[emoji39]Unajikuta ushahonga nyumba ya urithi achana na hiyo kitu maana raha yake haielezeki
Kuna nyingine hiyo mnajikuta mpo chini ya uvungu au sakafuni mnaserebuka tu na mara nyingi hizi huwa mnagundua baada ya kumaliza ligi ndo mnashituka, nyie acheni Hii kitu Hii kitu hii