Mimi nimedate nao 2 na mmoja nilizaa nae,na sikuwaoa ila nilienjoy sana,japo mambo yao ni hayo hayo,nioe nioe na sikuwaoa.Kati ya hao mmoja ni chotara wa kiarabu na wa pili ni mbantu,na ndiye nilizaa nae mtoto Pia safari ya kwa mpalange ndio starehe yao kubwa.
Pia mambo mazuri niliyoyafaidi kwa hao wanawake:
1.Wana heshima kubwa sana kwa mwanaume,hawana kero wala ugomvi.
2.Kupika wanajua sana na huuliza kila siku wapike nini,na wapikeje?
3.Hushiriki kwenye sex kikamilifu na saa yoyote,muda wowote ukiomba sex utapewa na wso pia huomba na wasiposhiba husema waziwazi
4.Wanapoomba kitu,kama nguo,viatu huomba kwa heshima na adabu
5.Pia wanataka uwaambie ukweli iwapo kuna kiti hutoweza kukifanya