Johnson json
Member
- Aug 20, 2023
- 37
- 52
Naombeni ushauri wakuu..hivi ni vibaya kusoma vitu tofauti tofauti na maansha diploma unachukia kingine then degree unasoma kingine,,,Nia yangu ni nimepangiwa kusoma mining engineer diploma DIT lakini nilikuwa nataka kuchukua mineral processing engineer lakn Sasa nikaona Bora nichukie for now mining engineer diploma then degree nsome mineral processing engineer hapo itaka je? Au Bora u specify kwa kitu kimoja mwanzo mwsho