Push him baby....mpaka aseme kitu....Mwanaume,mwanamke wako kuna mtu anammendea harafu unanyanyua mabega akimpata utalalamika?Noma....
Kama sikosei hata huyo Ex..,kashaona kuna gap(udhaifu)kwa mume..wakati mwingine..kujiamini kwa mwanamke na kuwa na msimamo kuna changiwa na mwaume mwenyewe...sasa huyo wa kunyanyua mabega kwa kweli...
Sasa wewe hapo unakuwa umebaki peke yako....kwenye kufanya maamuzi.Sio kipimo kizuri.Na huyo jamaa Ex,sio kwamba anakujua zaidi ya wewe unavyo mjua anaona kuna uwezekano one day unaweza kudhoofika akapata anacho taka..so mume lazima awe strong kuonyesha anakupenda yuko tayari kukutetea...akiacha na mabega yake Ex..anaweza kukupata..
Try this and it will work out:
Nenda kwa kampuni ya simu ambayo wewe unaitumia, wape namba ya simu ya huyo (EX-BF) na waambie wai-block isiingie kwenye simu yako. Waambie kwa nini unataka ku-block, na wata-iblock hukohuko kwenye network yao. Akitumia namba nyingine do the same.
Alternatively, mpe karipio kali kwamba utamfikisha kwenye vyombo vya usalama.
Ilikuchukua muda gani kabla hujamfahamisha mumeo, isije ikawa ulipoona uta shikwa ndo uliamua kumjulisha.
Nakuunga mkono kabisa mke wako anakuomba ushauri afanye nini ili former boyfriend aache kumtumia message za kimapenzi halafu unanyanyua mabega? 😕
Alitakiwa aseme chochote kukaa kwake kimya mimi sikuelewi hata kidogo. Je, huwezi kuomba kubadilisha namba yako kutokana na usumbufu unaopata toka kwa huyo jamaa?
Ilinichukua kama two weeks hivi, ndo ikabidi nimwambie. Nilijaribu kwanza kufanya kama mlivyoniagiza kubadilisha no. na kumkanya vile vile.
Sasa hebu tueleze, Ulimwabia sababu aliuliza kiini chako kubadilisha no. Ama hata hakuulizia kwanini unabadilisha no. yako?
Sijui lakini naona pana kitu hukisemi!
Sasa hebu tueleze, Ulimwabia sababu aliuliza kiini chako kubadilisha no. Ama hata hakuulizia kwanini unabadilisha no. yako?
Sijui lakini naona pana kitu hukisemi!
Mi nakubaliana na Namtih58 kuna kitu hujatuambia hapa.
Lorain pole sana ila namimi kama wachangiaji waliotangulia naendelea kumshangaa huyu Mr. samahani kama nitakukwaza lakini sidhani kama mume kweli mwenye mapenzi kwa mkewe anasikia kunalijamaa linamnyemelea wife yeye atapandisha mabega!! nahisi shem wetu anaupungufu fulani ndio maana ata XBf amepata mwanya wakukusumbua anajua kama akikaza buti atakupata,naamini huyu X uponae karibu kimtindo tofauti na unavyotueleza hapa au inawezekana hii story umetupatia nusu hainajakamirika kuna vitu umemiss kama si hivyo asingeweza kuwa jasiri nakutuma sms kwa mke wa mtu bila hofu nimtu ambae anafahamu udhaifu wa mume wako nandio maana hakupata shida kupata simuno yako.
Ushauri wangu jitoe kimasomaso mpigie uyu Xbf wako na umweleze kuwa uko mbioni kumchukulia hatua za kisheria endapo ataendelea kukutumia sms kwani hana nia njema kwako anachotaka nikukuvurugia ndoa yako kisha aingie mitini angekuwa mume angekuwowa mwanzo.
Loraine mie nataka kujua ni kwanini ulifunga ndoa bila kumwarifu kuwa mchezo sasa basi? Je mliahidiana nini wakati mkiwa ma-friend? Hawezi tu kupata guts kiasi hicho kama hukumpa ahadi au makubaliano fulani.
Lorain huyo dawa yake ndogo..ukishidwa kubadili number/kumblock we mchunie tu, yaani unauchuna mpaka mwenyewe anajiona mpumbavu.. ukiona tu message kutoka kwake una delete, yaani wala hata usizisome delete tu..halafu endelea na maisha yako.
Maadamu umeshamweleza mumeo umwambie pia na effort ulizofanya na unazofanya kukabiliana na hilo, ili hata siku message ikiingia simu ikiwa ikiwa mikononi mwake asikulaumu, hata kama akiendelea kupandisha mabega mwambie tu
Nilimweleza na badilisha sababu ya huo usumbufu siutaki. Then akajibu Ok na kukaa kimya bila nyongeza yoyote. Ila tayari jamaa alishaipata tena NDO MAANA NIMEKUJA KUULIZA NIFANYE NINI SASA NIMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAAA! EH!
Ilinichukua kama two weeks hivi, ndo ikabidi nimwambie. Nilijaribu kwanza kufanya kama mlivyoniagiza kubadilisha no. na kumkanya vile vile.
Asante sana ndugu yangu, ushauri wako nimeupokea na nitaufanyia kazi. Ubarikiwe sana.
Nakubaliana nawe Mr. Bauer.Unajiongopea Dada,
Mumeo kupandisha mabega,sio kwamba hajali, ila ni kupima uzito wa mapenzi yako kwake na dhahili hapo,take it from me (i had been there once) wewe huna uhakika licha ya kwamba umeolewa na huyu Bwn. mapya(mumeo).
tafuta muda ufikiri na usifate nini akiri inakuambia some where in your heart there may be some thing you still feel kwa ex-.
Sasa kwabla ya mambo kukuendea vibaya (which i bealive they will) unless utafute njia ya kuondoa hizo feelings za huyo jamaa wa zamani,kwani yuko hapo na msgs zake kukuharibia,huwezi kumpenda mke wa mtu alafu tena alikua wako wa zamani nia hapo ni kuchafua.
Achana nae,
Mpende zaidi mumeo kwani anaonyesha mstaarabu kwa kiasi cha juu.Nyie wanawake wa siku hizi hamatabiriki anaweza kuanza kumsemea ovyo huyo jamaa alafu siku ya pili wewe na huyo ex- mnaajivinjari nyuma ya mgongo wake,yametokea sana na yanatokea kila siku.