ushauri

ushauri

lqkini pamoja na yote nilimwambia kuwa mm nna matatzo ya mgongo so dokta kaniambia nicfanye kaz nnayofanya kwa miez 6 nipatiwe tiba then ntaendelea na shughulu zangu akakubaliana na hali yangu na kunipa moyo kiongozi na na tangu siku iyo sijamckia akililia shida zaid ya aliniambia anishindikize hospital nkamwambia apumzike tu
Kuwa nae kwasababu anakujali nawe utalipa ivo ivo ukipenda na nyoongeza ila don't put your heart labda kiasiii,when in doubt know your way out
 
Back
Top Bottom