Peter Majaliwa
Senior Member
- Jun 16, 2017
- 161
- 30
Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
We kweli una matatizo tena mengi tu wala sio ya masikio, kwani huko chuo cha afya na advance hakuhitaji kusoma!!? Kote utafundishwa kama hutosikia basi utaona kilichoandikwa.Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
uwezo upo hofu ntasomaje huko
Nenda Advance kama una uwezo kiakili.
Sent using Jamii Forums mobile app