Ushauri

Ushauri

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Ikiwa nitaamua kununua former flagship kati ya galaxy s4 au lg g4 ipi iko vizuri japo zimepita mda kidogo ila bado naona ni nzuri na bei sio mbaya.
 
lg g4 ni bora kupita kiasi compare na s4. lg g4 imetoka kipindi kimoja na samsung galaxy s6.

ila kuna feedback nyingi humu jukwaani na internet kwa ujumla hio simu ni rahisi kupata tatizo la motherboard na kupelekea kujizima na kujiwasha kila mara. na ninavyowajua wabongo sababu hizo simu zina tatizo na zinauzwa bei rahisi watakuwa wameshazisomba sana huko ughaibuni ili waje waziuze huku kwa faida kubwa.

budget yako ni kiasi gani? zipo simu nzuri nyingi used.
 
Yeah umesema ukweli mkuu, ndio maana niliona kuwa achukue s4 popular

Mimi nina lg g3 nilinunua mpya ila baada ya muda ikaanza kupata matatizo
 
Hapo hata s4 usichukue.. Battery sio nzur na nyingi bongo ni refurbished yani majanga...
Hyo g4 ni simu kali sio ya kufananisha na s4.. S4 alitokaga na g2 nafkri

Shida ya g4 ni ile bootloop pasua kichwa utaishia kuuza spare... Ungeweka budget utafutiwe sim zingine nzur
 
lg g4 ni bora kupita kiasi compare na s4. lg g4 imetoka kipindi kimoja na samsung galaxy s6.

ila kuna feedback nyingi humu jukwaani na internet kwa ujumla hio simu ni rahisi kupata tatizo la motherboard na kupelekea kujizima na kujiwasha kila mara. na ninavyowajua wabongo sababu hizo simu zina tatizo na zinauzwa bei rahisi watakuwa wameshazisomba sana huko ughaibuni ili waje waziuze huku kwa faida kubwa.

budget yako ni kiasi gani? zipo simu nzuri nyingi used.
Chief budget yangu ni 350k niliona hizo simu zina cheza kwenye bei hiyo hata chini ya apo ila sikugundua matatizo yake asante kwa kunijulisha.Niliuliza redmi 5A zinauzwa 400k pale giant electronic
 
samsung galaxy grand prime pro haina utofauti sana na redmi 5a inapatikana chini ya 300k. hio redmi 5A inamake sense ikiuzwa bei rahisi, ila ikizidi laki 3 haina maana.

pia kwa used hela hio unaweza pata s6, sema 400k ni rahisi kupata iliyo katika hali nzuri
 
350k anapata s6 kama kawaida. 400 hata note 5 pia anapata. Kweli zipo simu kibao kwa hyo pesa. Na mjini ukiwa na 500k basi simu yoyote waweza nunua anytime kwa watu wenye shida za pesa
 
Back
Top Bottom