Mkuu wapinzani wanaishi kimachale sana! Nimeshuhudia mwenyewe! Mfano Mbowe mwenyewe hata kula hali hovyohovyo nk. Kuna jamaa alisema aliwahi kuwashuhudia kina Lissu huko Mwanza wakati wa kula wakiibadilishana vyakula na vinywaji! Kwahiyo mbali na kuongezewa ulinzi, wenyewe tayari wanaishi kama ukimbizini! Nimeshuhudia mwenyewe nikashangaa sana! Kwakweli mh Mbowe ana nafasi yake kwenye historia ya hii nchi!Naunga mkono hoja kwani Zitto amekuwa ni mwiba mkubwa katika kupambana na hii serikali ya majizi, mafisadi na WAUAJI ambao wanaweza kabisa kupanga kuchukua uhai wa huyu mwenzetu katika upambanaji.
Mkuu wapinzani wanaishi kimachale sana! Nimeshuhudia mwenyewe! Mfano Mbowe mwenyewe hata kula hali hovyohovyo nk. Kuna jamaa alisema aliwahi kuwashuhudia kina Lissu huko Mwanza wakati wa kula wakiibadilishana vyakula na vinywaji! Kwahiyo mbali na kuongezewa ulinzi, wenyewe tayari wanaishi kama ukimbizini! Nimeshuhudia mwenyewe nikashangaa sana! Kwakweli mh Mbowe ana nafasi yake kwenye historia ya hii nchi!
Hilo ni swali?
We jamaa una roho kutu!
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .
Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Kwa hiyo kama ni kwamaslahi ya umma, mtu yeyote anaweza kujiamulia kutumia pesa za wananchi!!!Tusipende kushabikia vitu vya hovyo hovyo kama anavyofanya Zito na watanzania wachache wasiokuwa wazalendo. Kama Zito yeye anasema kuwa kunamatumizi ya fedha za miradi iliyofanywa na serikali bila kufuata utaratibu na wao wanafahamu hilo je swali ni kwamba matumizi hayo yaliyofanyika ni kwa manufaa ya umma au manufaa ya magufuli? watupe hiyo data ili watanzania tupime kuwa miradi hiyo pamoja kutumia fedha za watanzania haina manufaa kwetu ndo tutamuelewa.
Umesoma azimio la Zanzibar ?we bisha kama ni uongo
tangu lini cdm ikampenda zitto?
Hivi wahaya ni cheap? Wee mhaya wa wapi usiye na thamani?hivi chadema mmeanza lini kumpenda zitto?
chadema wakitoa walinzi ndio hao hao watammaliza zitto na kisha mtasingizia CCM
wee jamaa sijui kule Chadema kuna mtu alikuwowa na kukupiga chini..... maana hiyo obsession yako si ya kawaida!we bisha kama ni uongo
tangu lini cdm ikampenda zitto?
wee jamaa sijui kule Chadema kuna mtu alikuwowa na kukupiga chini..... maana hiyo obsession yako si ya kawaida!
na sinunulikiHivi wahaya ni cheap? Wee mhaya wa wapi usiye na thamani?
Umesoma azimio la Zanzibar ?
Aongezewe ulinzi na NANI na kwanini?!
I see....chadema ni genge la wahuni.period
That is a reason but it ain't strong, ulimsikiliza alichokuambia? Ukaamimi? Nadhani Hata mtoto wa miaka saba angejua what transpired, he was a friend of the regime not of a person he couldn't distinguish of the two!na sinunuliki
ila chadema wahuni
ebu kaa chini, zitto before ACT alikuwa chama gani??
That is a reason but it ain't strong, ulimsikiliza alichokuambia? Ukaamimi? Nadhani Hata mtoto wa miaka saba angejua what transpired, he was a friend of the regime not of a person he couldn't distinguish of the two!
Na hakukomaa na kuelewa tofauti hizo, but you didn't understand that maana nikakuona ukamfuata ACT Na sasa uko CCM, but the party you are in now is devoulish hutaelewa kwa sasa, is just like Sadaams BATH party utaelewa baadae tuu.
Chadema mmepanga kumjeruhi zitto kama mlivyofanya kwa Tundu LissuNimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .
Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Nadhani sasa watu wataelewa tunamaanisha niniNaunga mkono hoja.
Zitto awe makini sana katika nyendo zake.
Hahahahaaa eti kontena la risasiNimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .
Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .