Miuaji iko povuniZITO NI MSAKA TONGE TU KAMA WASAKA TONGE WENGINE SAMPULI YA LISSU. HAWA WATU NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YETU. NIMEMSIKILIZA KWENYE CONFERENCE YAKE NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU CAG. HANA HOJA YA MSINGI NI MPOTOSHAJI WA UMMA KUTAKA UMAARUFU.
SPIKA AMEMUITA CAG KUMHOJI KAMA MTU BINAFSI NA SIYO OFISI YA CAG KWA KAULI YAKE KUHUSU BUNGE KUWA DHAIFU NA KUSHINDWA KUSIMAMIA SERIKALI. KWANINI ANAIBUA MIJADALA YA KWAMBA SPIKA ANAHOJI OFISI YA CAG?
BUNGE LETU KIKATIBA LINARUHUSIWA KUMHOJI MTU YEYOTE NA ASSAD CAG WETU KAITWA KAMA YEYE SI OFISI YAKE. ASIPOTOSHE UMMA.
IKUMBUKWE ASSAD CAG NI MTUMISHI WA UMMA ANAYEANGUKIA SERIKALINI KIKATIBA. HAYUKO BUNGENI WALA MAHAKAMANI. YEYE ANATUMIKIA UMMA WA WATANZANIA SIYO DUNIA YOTE. MAMLAKA YAKE KIKATIBA YANAISHIA MIPAKA YA TANZANIA. KITENDO ALICHOKIFANYA CHA KUELEZEA UKAGUZI WA OFISI YAKE KWA WATU AMBAO HAWANA MAMLAKA YA KUHOJI HESABU ZA SERIKALI YA NCHI YAKE SI SAHIHI.
ISITOSHE KUSEMA KUWA AMEDHARAU SERIKALI YA AWAMU YA 5 ILIYOMPA KAZI ANAYOIFANYA NA BUNGE ANALOTAKA LISIMAMIE SERIKALI YEYE AKIWA SEHEMU YA SERIKALINI.
KWA UFUPI SANA NISEME KUWA ASSAD HASTAHILI KUENDELEA KUWA SEHEMU YA WATUMISHI WA SERIKALI KWA KUKOSA UZALENDO NA UUNGWANA.
KAMA MTENDAJI MKUU WA CAG ALISHINDWA KUFAHAMU FEDHA HIZO 1.5T ZIMEKWENDA WAPI NA KWA IDHINI YA NANI?
KAMA ANAFAHAM NI KWA IDHINI YA RAIS, JE AMESHINDWA KUTAMBUA KUWA RAIS NI BOSS WAKE AMBAYE ANGEWEZA KUPATA UKWELI WA MATUMIZI YA FEDHA HUSIKA NA KUZITOLEA MAELEZO?
JE ANATAKA KUTUAMBIA WATANZANIA FEDHA HIZO NYINGI KIASI HICHO AMEZIIBA RAIS MAGUFULI?
KWAKWELI SIMUUNGI MKONO KABISA ZITO NA NAAMINI KUWA SPIKA YUPO SAHIHI KUUPATA UKWELI WA KAULI ILE TOKA KWA MTU AMBAYE NI MTANZANIA MWENYE DHAMANA YA KUSIMAMIA OFISI YA UMMA IITWAYO NAO/CAG WA SERIKALI NA ISITAFSIRIWE KUWA CAG AMEEINGILIWA KWENYE UTUMISHI WA KAZI ZAKE KAMA OFISI LA HASHA.
LABDA ZITO ATUELEZE NI WAPI KATIKA KATIBA YETU CAG ANARUHUSIWA KUTOA TAARIFA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YA TANZANIA NJE YA NCHI?
CHADEMA wananikumbushaga zile sinema za kihindi za kina Amitabh na Mithun. Yaani huwa wanaviziana kutaka kutekana!.Nami naunga Mkono Zitto kuongezewa Ulinzi
Maana katika Wabunge watano waliojipanga kwenda Mahakamani kuomba tafsiri ya Kuitwa CAG yupo Saeed Kubenea Na Anthony Komu Na tunajua tabia zao Za kuteka teka walimkosa kosa Mbowe mpaka wakapelekana Kwenye kamati kuu ya Chama chao kuombana msamaha
wewe ni wa kupuuzwa . unamzungumziak mtu ambae wewe na washirika wako mmeshirikiana kumua na hamtaki uchunguzi ufanyike ???Hivi lile sakata la Zitto kutaka kulishwa Sumu na ben Saanane liliishia wapi?
Watanzania itatuchukua karne kujitambua,kwa hiyo hizo hela za serikali zinatumiwa na mtu bila kufuata utaratibu?ZITO NI MSAKA TONGE TU KAMA WASAKA TONGE WENGINE SAMPULI YA LISSU. HAWA WATU NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YETU. NIMEMSIKILIZA KWENYE CONFERENCE YAKE NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU CAG. HANA HOJA YA MSINGI NI MPOTOSHAJI WA UMMA KUTAKA UMAARUFU.
SPIKA AMEMUITA CAG KUMHOJI KAMA MTU BINAFSI NA SIYO OFISI YA CAG KWA KAULI YAKE KUHUSU BUNGE KUWA DHAIFU NA KUSHINDWA KUSIMAMIA SERIKALI. KWANINI ANAIBUA MIJADALA YA KWAMBA SPIKA ANAHOJI OFISI YA CAG?
BUNGE LETU KIKATIBA LINARUHUSIWA KUMHOJI MTU YEYOTE NA ASSAD CAG WETU KAITWA KAMA YEYE SI OFISI YAKE. ASIPOTOSHE UMMA.
IKUMBUKWE ASSAD CAG NI MTUMISHI WA UMMA ANAYEANGUKIA SERIKALINI KIKATIBA. HAYUKO BUNGENI WALA MAHAKAMANI. YEYE ANATUMIKIA UMMA WA WATANZANIA SIYO DUNIA YOTE. MAMLAKA YAKE KIKATIBA YANAISHIA MIPAKA YA TANZANIA. KITENDO ALICHOKIFANYA CHA KUELEZEA UKAGUZI WA OFISI YAKE KWA WATU AMBAO HAWANA MAMLAKA YA KUHOJI HESABU ZA SERIKALI YA NCHI YAKE SI SAHIHI.
ISITOSHE KUSEMA KUWA AMEDHARAU SERIKALI YA AWAMU YA 5 ILIYOMPA KAZI ANAYOIFANYA NA BUNGE ANALOTAKA LISIMAMIE SERIKALI YEYE AKIWA SEHEMU YA SERIKALINI.
KWA UFUPI SANA NISEME KUWA ASSAD HASTAHILI KUENDELEA KUWA SEHEMU YA WATUMISHI WA SERIKALI KWA KUKOSA UZALENDO NA UUNGWANA.
KAMA MTENDAJI MKUU WA CAG ALISHINDWA KUFAHAMU FEDHA HIZO 1.5T ZIMEKWENDA WAPI NA KWA IDHINI YA NANI?
KAMA ANAFAHAM NI KWA IDHINI YA RAIS, JE AMESHINDWA KUTAMBUA KUWA RAIS NI BOSS WAKE AMBAYE ANGEWEZA KUPATA UKWELI WA MATUMIZI YA FEDHA HUSIKA NA KUZITOLEA MAELEZO?
JE ANATAKA KUTUAMBIA WATANZANIA FEDHA HIZO NYINGI KIASI HICHO AMEZIIBA RAIS MAGUFULI?
KWAKWELI SIMUUNGI MKONO KABISA ZITO NA NAAMINI KUWA SPIKA YUPO SAHIHI KUUPATA UKWELI WA KAULI ILE TOKA KWA MTU AMBAYE NI MTANZANIA MWENYE DHAMANA YA KUSIMAMIA OFISI YA UMMA IITWAYO NAO/CAG WA SERIKALI NA ISITAFSIRIWE KUWA CAG AMEEINGILIWA KWENYE UTUMISHI WA KAZI ZAKE KAMA OFISI LA HASHA.
LABDA ZITO ATUELEZE NI WAPI KATIKA KATIBA YETU CAG ANARUHUSIWA KUTOA TAARIFA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YA TANZANIA NJE YA NCHI?
Ukijibiwa tushtuane turudi.Hivi lile sakata la Zitto kutaka kulishwa Sumu na ben Saanane liliishia wapi?
Zitto hakusema kalishwa Sumu bali alipata food poisoning baada ya kula chakula chenye Ecoli sasa unageuza.Hivi lile sakata la Zitto kutaka kulishwa Sumu na ben Saanane liliishia wapi?
Tuondolee ujinga wako hapa.Hivi lile sakata la Zitto kutaka kulishwa Sumu na ben Saanane liliishia wapi?
Kwani Chadema ndiyo wamesema apewe ulinzi?hivi chadema mmeanza lini kumpenda zitto?
chadema wakitoa walinzi ndio hao hao watammaliza zitto na kisha mtasingizia CCM
File lake liko ChatoHivi lile sakata la Zitto kutaka kulishwa Sumu na ben Saanane liliishia wapi?
Mkuu ummeleza mambo mengi sana lakini mleta mada anataka Zitto apewe ulinzi kwa sabu ya kukosoa Serekali naungo mkono hoja yake apewe ulinzi tena mkali sana.ZITO NI MSAKA TONGE TU KAMA WASAKA TONGE WENGINE SAMPULI YA LISSU. HAWA WATU NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YETU. NIMEMSIKILIZA KWENYE CONFERENCE YAKE NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU CAG. HANA HOJA YA MSINGI NI MPOTOSHAJI WA UMMA KUTAKA UMAARUFU.
SPIKA AMEMUITA CAG KUMHOJI KAMA MTU BINAFSI NA SIYO OFISI YA CAG KWA KAULI YAKE KUHUSU BUNGE KUWA DHAIFU NA KUSHINDWA KUSIMAMIA SERIKALI. KWANINI ANAIBUA MIJADALA YA KWAMBA SPIKA ANAHOJI OFISI YA CAG?
BUNGE LETU KIKATIBA LINARUHUSIWA KUMHOJI MTU YEYOTE NA ASSAD CAG WETU KAITWA KAMA YEYE SI OFISI YAKE. ASIPOTOSHE UMMA.
IKUMBUKWE ASSAD CAG NI MTUMISHI WA UMMA ANAYEANGUKIA SERIKALINI KIKATIBA. HAYUKO BUNGENI WALA MAHAKAMANI. YEYE ANATUMIKIA UMMA WA WATANZANIA SIYO DUNIA YOTE. MAMLAKA YAKE KIKATIBA YANAISHIA MIPAKA YA TANZANIA. KITENDO ALICHOKIFANYA CHA KUELEZEA UKAGUZI WA OFISI YAKE KWA WATU AMBAO HAWANA MAMLAKA YA KUHOJI HESABU ZA SERIKALI YA NCHI YAKE SI SAHIHI.
ISITOSHE KUSEMA KUWA AMEDHARAU SERIKALI YA AWAMU YA 5 ILIYOMPA KAZI ANAYOIFANYA NA BUNGE ANALOTAKA LISIMAMIE SERIKALI YEYE AKIWA SEHEMU YA SERIKALINI.
KWA UFUPI SANA NISEME KUWA ASSAD HASTAHILI KUENDELEA KUWA SEHEMU YA WATUMISHI WA SERIKALI KWA KUKOSA UZALENDO NA UUNGWANA.
KAMA MTENDAJI MKUU WA CAG ALISHINDWA KUFAHAMU FEDHA HIZO 1.5T ZIMEKWENDA WAPI NA KWA IDHINI YA NANI?
KAMA ANAFAHAM NI KWA IDHINI YA RAIS, JE AMESHINDWA KUTAMBUA KUWA RAIS NI BOSS WAKE AMBAYE ANGEWEZA KUPATA UKWELI WA MATUMIZI YA FEDHA HUSIKA NA KUZITOLEA MAELEZO?
JE ANATAKA KUTUAMBIA WATANZANIA FEDHA HIZO NYINGI KIASI HICHO AMEZIIBA RAIS MAGUFULI?
KWAKWELI SIMUUNGI MKONO KABISA ZITO NA NAAMINI KUWA SPIKA YUPO SAHIHI KUUPATA UKWELI WA KAULI ILE TOKA KWA MTU AMBAYE NI MTANZANIA MWENYE DHAMANA YA KUSIMAMIA OFISI YA UMMA IITWAYO NAO/CAG WA SERIKALI NA ISITAFSIRIWE KUWA CAG AMEEINGILIWA KWENYE UTUMISHI WA KAZI ZAKE KAMA OFISI LA HASHA.
LABDA ZITO ATUELEZE NI WAPI KATIKA KATIBA YETU CAG ANARUHUSIWA KUTOA TAARIFA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YA TANZANIA NJE YA NCHI?
Nyie si makamanda? Anzeni kumlindaNimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .
Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Mkuu naona ukimuunga mkono CAG na Zitto bila kujua kwani wabunge wanakazi gani majukumu yao niyapi kunasababu gani yakua na wabunge Ujasili wakutumia pesa za umma bila kupitishwa na bunge mwaupatawapi au chigani inatumia nfumo huu?Tusipende kushabikia vitu vya hovyo hovyo kama anavyofanya Zito na watanzania wachache wasiokuwa wazalendo. Kama Zito yeye anasema kuwa kunamatumizi ya fedha za miradi iliyofanywa na serikali bila kufuata utaratibu na wao wanafahamu hilo je swali ni kwamba matumizi hayo yaliyofanyika ni kwa manufaa ya umma au manufaa ya magufuli? watupe hiyo data ili watanzania tupime kuwa miradi hiyo pamoja kutumia fedha za watanzania haina manufaa kwetu ndo tutamuelewa.
Kwani hivi Ben Saanane yupo wapi tumuulize?Hivi lile sakata la Zitto kutaka kulishwa Sumu na ben Saanane liliishia wapi?
Tumieni akili basi,ndio kama nchi kuna,Katiba,sheria,kanuni na taratibu, hatuwezi kufanya mambo kiholela kwa kisingizio cha kwamba matumizi yasiyofuata taratibu yana faida Kwa Umma, lazima kama nchi tuzingatie utaratibu, kujiamulia mtu anavyojisikiaTusipende kushabikia vitu vya hovyo hovyo kama anavyofanya Zito na watanzania wachache wasiokuwa wazalendo. Kama Zito yeye anasema kuwa kunamatumizi ya fedha za miradi iliyofanywa na serikali bila kufuata utaratibu na wao wanafahamu hilo je swali ni kwamba matumizi hayo yaliyofanyika ni kwa manufaa ya umma au manufaa ya magufuli? watupe hiyo data ili watanzania tupime kuwa miradi hiyo pamoja kutumia fedha za watanzania haina manufaa kwetu ndo tutamuelewa.
Mkuu hata kama yana manufaa ila kufata utaratibu ni Jambo zuri sana hatuhitaji strong men bali strong institute ili hata kesho Akija Hata Shilole au Diamond basi anaendesha nchi tu bila shidaTusipende kushabikia vitu vya hovyo hovyo kama anavyofanya Zito na watanzania wachache wasiokuwa wazalendo. Kama Zito yeye anasema kuwa kunamatumizi ya fedha za miradi iliyofanywa na serikali bila kufuata utaratibu na wao wanafahamu hilo je swali ni kwamba matumizi hayo yaliyofanyika ni kwa manufaa ya umma au manufaa ya magufuli? watupe hiyo data ili watanzania tupime kuwa miradi hiyo pamoja kutumia fedha za watanzania haina manufaa kwetu ndo tutamuelewa.
Muulize benHivi lile sakata la Zitto kutaka kulishwa Sumu na ben Saanane liliishia wapi?
Wasiojulikana wanaweza kumtungua wakati wowote na hawatafanya makosa waliofanya kwa TAML. ZZK amekuwa mwiba endelevu kwa watawala na amekuwa consistent and relentless in pursuit of justice; and I am sure the rulers are extremely unhappy with him and vexed.
Anatakiwa kujilinda sana lakini anahitaji zaidi ulinzi toka JUU kwa MUNGU. Sala na dua za kila mpenda haki na amani zinahitajika kwa ajili ya ZZK!
Sent using Jamii Forums mobile app