Sidhani kama utumishi watamsikia. Nilipata case inayofanana, niliitwa interview august mwaka jana lakini nilikuwa nnje kwa training. Niliwasiliana na utumishi lakini hawakuwa na msaada wowote... nikawapigia taasisi niliyopangiwa kuifanyia interview ikanambia niwasiliane na utumishi wao hawahusiki.. so kama hawezi kwenda, ajaribu wakati mwingine tu