Ushauri wenye uzoefu

si unajua tena hawa ndoa yao bado changa ''japokuwa anasema bado hawajafunga ndoa'' so baby ni nyingi switiii ndo usiseme lazima waende pamoja, ila ni vizuri pia akajua afya yake!

Ww yako je?
 
Baba kutoa damu wakati wa ujauzito wa mwenzi wake ni muhimu na siyo kupima UKIMWI tu bali hata magonjwa mengine kama sickle cell au thalassaemia.Kama mama mjamzito atagundulika ana tatizo la sickle cell basi kuna uwezekano mtoto naye akapata,sasa lazima baba naye atoe damu kucheki kama amebeba hiyo sickle cell au kitu chochote kinachoweza kurisishwa kwa mtoto.

Hii nayo inategemea upo nchi gani hapa ulimwenguni
 
Kwani miaka yote hiyo minne hujawahi kumdinya mkuu??? Why hamkupima mwanzoni?
 
Nice...so unamchosha analala hahahhaha una hatari

nampepea kwanza akipata usingizi na mimi nautafuta wangu si ndo kutumikia ndoa huku lol!....maisha niliyoyachagua haha ha!!!!
 
Kaka hapo hauna ujanja, utapata tu jibu maana wife lazima apimwe coz of ujauzito. Ni bora mkaenda wote kutiana moyo!
 
Mkuu hiyo siyo hiyari kwa mjamzito ni lazima! huwa wanashauri na wababa waende na wake zao sema wababa wanakula kona.

Yaani muwahi mapema ili msijemletea Mtoto wenu matatizo yasiyomhusu!! Acha kuogopa ushavua Nguo bafuni Maji kwenye ndoo oga tu baba!!
 
Usipime kaka,kama unao na ndoa kwishney halafu inakuwa kantangaze.
 
Mambo ya ajabu kabisa haya aiseee.....mme dinyana weeeee sasa ndo mnataka kupima!!!!Ya Mungu mengi aisee
 
uoga wa nini wakati ulikuwa unaogelea kavu....?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…