Ushauri wenye gharama kwa Dr.Wilbroad slaa.

Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini. Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda kukupa ushauri ambao pengine inaweza kukuwia vigumu kuuamua! Kutokana na hali halisi inayoendelea ktk Bunge LA katiba,ni dhahiri hakuna tena katiba mpya bali ni katiba ya ccm. Hakuna tena uwezekano wa upinzani kuleta mabadiliko yoyote ktk mambo yote yaliyoletwa na ccm. Wabunge wetu wametusariti! Tuliwashauri wajitoe mapema lkn wakashindwa kuacha posho ya laki 3. Kwa maantiki hiyo,nakusihi UNG'ATUKE nafasi yako ya juu ya Chadema! Hii itakuongezea heshima kubwa miongoni mwa jamii. Baada ya bunge la katiba,ni vigumu sana kwa upinzani kuaminika kwa wananchi,naamini utapima kwa kuangalia uzito wa heshima yako na matokeo ya kura za Jana ktk kuamua namna kupiga kura. Nawasilisha..!

itamchukua miaka kumi kukuelewa, na hii sio Slaa tu, viongozi wote wenye dhamana na wanaotakiwa kuwajibika, hawawezi kamwe kukuelewa
 
hakuna haja ya kutafuta mchawi lamsingi na sisi wananchi wa kawaida tupewe hiyo fursa ya kupiga kura ya wazi au ya siri kama walivyojipa wao

Na ninyi wananchi mnaingia bungeni? maana hizi ni kanuni zinazotumika ndani ya mabunge kupitisha vifungu (Articles) sio luchagua viongozi (mtu)
 
Katiba ni ya watanzania sio ya wana siasa.Nimefurahi kuwa wameamua kura ya wazi.kwa nini nasema hivyo.Wananchi wataona kuwa ni nani yupo kwa ajili yao.Na ujue kuwa hii ni kitu cha kihistoria.Sasa tunataka kuona ni nani mnafiki kwenye hii rasimu ya katiba mpya.Wananchi wametoa maoni yao na kuwapelekea wabunge sasa wabunge kazi kwao.tutaweka kumbukumbu ni nani alipiga au alipiga kura tofauti na wananchi watakavyo.KURA YA WAZI SAFI.
 
itamchukua miaka kumi kukuelewa, na hii sio Slaa tu, viongozi wote wenye dhamana na wanaotakiwa kuwajibika, hawawezi kamwe kukuelewa
Hapana kuelewa anaelewa sana! Tatizo pengine ni ile hatua ya kuchukua maamuzi magumu km hayo ndo inakuwa shida. Na wanaochangia sana ni wale wapambe ambao wapo karibu na hawa viongozi wetu. Kifupi wabunge wetu wametusaliti,na Dr. Km kioo angeng'atuka.
 
Una hoja ya msingi,kinana hawezi kung'atuka na sababu ni moja tu ccm wamefanikiwa kwa karibu kila kitu ktk bunge la katiba. Cuf kwa upande wao,sina tatizo kwa sababu chama chao bado kimeimarika upande wa Zanzibar ambako ndiyo kina nguvu kubwa! Na huenda km mfumo wa serikali 3 hautapita,cuf kwa upande wa Zanzibar hawatakubali! Kuhusu chadema,ndo chama Kikuu cha upinzani,na suala la katiba lilikuwa ktk ilani yao! Kitendo cha kuendelea kukubali hoja za ccm ni kuonyesha kushindwa! Ndo maana nikamshauri km kiongozi mkuu wa,taasisi hiyo kubwa hapa nchini,ang'atuke ili aendelee kuaminika!

Kumbe hoovyo, wewe kwako kufanikiwa ni kuwahadaa wananchi mliopa kuwaongoza kwa utawala bora? Kigezo chako siyo objective na hivyo katika jukwaa kama hili usingefaa kuruhusiwa kutoa maoni haya eti ni 'great thinker'....ajabu kwelikweli
 
Una akili wewe? Unajua idadi ya maccm kule bunge la katiba? Ukibebwa hapo lumumba nawe ujiweze kiakili.
 
Si ugeanza wewe kuachia ngazi? Au wewe uko upande wa wale wanaoshangalia upuuzi wa CCM? Kama ndivyo ni nini maana (logic) ya ushauri wako kwa Dr W.P. Slaa? Na nini hasa connection ya Bunge la Katiba, na Dr. Slaa na Kujiudhuru kwake na wapi CHADEMA kama General Secretary au Kama mjumbe wa Bunge hilo? Au Dr Slaa alilipelekea hadidu za rejea bunge hilo na sasa zime-fail na hivyo aachie ngazi? I completely don't get you!!

umesema kweli bro
 
Kumbe hoovyo, wewe kwako kufanikiwa ni kuwahadaa wananchi mliopa kuwaongoza kwa utawala bora? Kigezo chako siyo objective na hivyo katika jukwaa kama hili usingefaa kuruhusiwa kutoa maoni haya eti ni 'great thinker'....ajabu kwelikweli
Povu la nini kaka..!? Jaribu kufuatilia uzi na coment nilizotoa. Unachosema ww unasema matokeo hasi kwa upande wa ccm,lkn unadhani hata wao wana mawazo km yako!? Hata ktk bunge la katiba pamoja na hadaa zao,lkn wamefanikiwa. Tumia kichwa kufikiri mzee,maantiki yangu hapa siyo kuisifia ccm. Nilishaandika uzi huko nyuma,kushauri UKAWA km kweli wana unazalendo wajitoe kwenye bunge hilo la ki-ccm. Lkn wakashindwa kuachia posho! Ndo maana nikashauri,kwa busara za dr.apime hali hiyo na aonyeshe kwa vitendo kukerwa huko. Aking'atuka umaarufu wa dr.slaa utakuwa mara 600 ukilinganisha na sasa.
 
Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini. Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda kukupa ushauri ambao pengine inaweza kukuwia vigumu kuuamua! Kutokana na hali halisi inayoendelea ktk Bunge LA katiba,ni dhahiri hakuna tena katiba mpya bali ni katiba ya ccm. Hakuna tena uwezekano wa upinzani kuleta mabadiliko yoyote ktk mambo yote yaliyoletwa na ccm. Wabunge wetu wametusariti! Tuliwashauri wajitoe mapema lkn wakashindwa kuacha posho ya laki 3. Kwa maantiki hiyo,nakusihi UNG'ATUKE nafasi yako ya juu ya Chadema! Hii itakuongezea heshima kubwa miongoni mwa jamii. Baada ya bunge la katiba,ni vigumu sana kwa upinzani kuaminika kwa wananchi,naamini utapima kwa kuangalia uzito wa heshima yako na matokeo ya kura za Jana ktk kuamua namna kupiga kura. Nawasilisha..!

UNATOKA KUNYWA VIROBA NINi?
 
UNATOKA KUNYWA VIROBA NINi?
Umeelewa kilichoandikwa!? Tatizo ugomvi wenu wa kifamilia na wake zenu mnaleta hadi huku jukwaani! Halafu si kila thread lazima uchangie,zingine km zimekuzidi maarifa,pita tu!
 
Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini. Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda kukupa ushauri ambao pengine inaweza kukuwia vigumu kuuamua! Kutokana na hali halisi inayoendelea ktk Bunge LA katiba,ni dhahiri hakuna tena katiba mpya bali ni katiba ya ccm. Hakuna tena uwezekano wa upinzani kuleta mabadiliko yoyote ktk mambo yote yaliyoletwa na ccm. Wabunge wetu wametusariti! Tuliwashauri wajitoe mapema lkn wakashindwa kuacha posho ya laki 3. Kwa maantiki hiyo,nakusihi UNG'ATUKE nafasi yako ya juu ya Chadema! Hii itakuongezea heshima kubwa miongoni mwa jamii. Baada ya bunge la katiba,ni vigumu sana kwa upinzani kuaminika kwa wananchi,naamini utapima kwa kuangalia uzito wa heshima yako na matokeo ya kura za Jana ktk kuamua namna kupiga kura. Nawasilisha..!

Acha kujitoa ufahamu,ANG'ATUKE ili iweje? Kumbuka ameachia jimbo na aligombea urais kwa masharti,so aking'atuka nani atabeba mzigo huo wa gharama.Halafu vp kuhusu Junior? Atalelewa na nani au kwa pesa ipi?
 
Na ninyi wananchi mnaingia bungeni? maana hizi ni kanuni zinazotumika ndani ya mabunge kupitisha vifungu (Articles) sio luchagua viongozi (mtu)
kwani na wakati wa kuipitisha katiba ni mtu gani hapo tunamchagua? jifunze kusoma kwa makini usiwe mtu wa kuweka mbele unachofikiria soma kwanza uelewe ni nini kinachozungumziwa
 
Si haki kwa mbunge yeyote kujitoa kwenye CA kwani wanawakilisha wananchi si vyama vyao na majimboni kuna raia wa vyama mbalimbali. Pia ikumbukwe katiba ina vifungu vya aina mbalimbali vinavyohusu mustkabali wa raia wote hivyo vyote ni muhimu. Tatizo naliona kwetu kufikiri katiba ni vifungu vinavyohusu muungano pekee.
 
Back
Top Bottom