Ushauri wenye gharama kwa Dr.Wilbroad slaa.

Ushauri wenye gharama kwa Dr.Wilbroad slaa.

Na unawazungumziaje wale waliomo mule kuwakilisha makundi kama ya kidini, elimu n.k, nao wajiudhulu nyadhifa zao kwa kuruhusu mjadala kutekwa zaidi na wanasiasa!?
Hapa nimefikiria kumuomba Dr. Ang'atuke km mkuu wa taasisi iliyotusariti! Wabunge wale 201 wote kwa makundi yao wao ndo walioanza mapema kujidhalilisha kwa kupewa wali ili waunge mkono mapendekezo ya ccm! Hilo halihitaji kuwa umesoma kuwajua wako upande gani!? Matokeo ya jana ni jibu tosha. Me nakuambia ukweli mkuu,km dr. Anataka kuendelea kuheshimika bora ajitoe mapemaa! Wabunge wetu wa chadema,wanashiriki kubariki katiba ya ccm ambayo itakuwa mbovu kuliko hata hii iliyopo. Ww subiri hadi mwisho utakubali maneno yangu
 
Unajua wewe jamaa hueleweki,Kwahiyo Dr akijiuzulu ndipo tutapata kila kitu kinachopendekezwa na upande wa upinzani? Elewa hata kama Chadema na upinzani wote wangekuwa na mapendekezo mazuri kiasi gani kama haya akisi maslah ya ccm hayawezi kupita kamwe. Halafu vipi umshauri Dr ang'atuke nafasi yake ya chama wakati mle ndani (bungeni) yumo Mwkt Mwanasheria na Mkurugenzi wa habari na uenezi wewe unadili na mtu aliye nje na tukio husika!

Je sikweli kwamba wewe umebeba ajenda zako za siri kuhusu Dr Slaa.

Eti ukishauri wajitoe halafu unasema wanabaki kwasababu ya laki tatu! Hizo ni propaganda rahisi sana utawakamata misukule ya Lb7 siyo jamii ya watu wanaojitambua.

Huwezi kulipigania jambo kwa zaidi ya miaka ishirini then uje ujitoe kwa visababu visivyo jaa hata kisoda. Jiulize mle ndani kunawatu wote wanaoheshimika kuliko wewe kama Lipumba,Mbatia,Mbowe na viongozi wa dini lakini hawajaona sababu ya msingi ya kujitoa kwasababu fursa kama hizo haziji mara mbili.

Elewa kama unavyosema hakuna mwanasiasa wa upinzani anaye heshimika kimataifa na kitaifa kama Dr Slaa na kamwe heshima yake haiwezi kushuka eti kwasababu hajajiuzulu kwa kutopitishwa kwa baadhi ya mapendekezo yaliyo kuwa yakipiganiwa na upinzani Bungeni. Yeyo mwenye mawazo kama yako ni wazo anafikiri kwa kiungo cha meya wa Dareslaam.

BACK TANGANYIKA
Hv police wakifanya makosa kwa nn anaombwa waziri wa mambo ya ndani ajiudhuru!? Msingi wa hoja hii ni kujenga dhana uwajibikaji ambayo Dr.ni muumini wake! Kitu ambacho hukielewi,chadema ina watu wengi sana wanaoiunga mkono,baada ya kuona ccm wameamua kupoka kila kitu,wabunge wetu wa upinzani wangesusia tu na watanzania wangekuwa nyuma yao. Usidhani km wangesusia jambo la katiba lingesimama hapana,ndo lingepamba moto na hatimae tungekuja kupata katiba bora kuliko wanayoipitisha hivi sasa
 
Me namshauri ajitoe ang'atuke cheo chake. Anaweza kubaki kwenye siasa km mshauri tu. Nahisi kutakuwa na matokeo mabaya zaidi mbeleni kutokana na udhaifu waliouonyesha wabunge wetu. Njia pekee ya kumfanya aendelee kuonekana lulu,ni kujitoa tu!

Kwanini Dr Slaa na siyo Mh Mbowe au Mh Tundu lissu!!?

Ni nani ambaye anatakiwa ajitoe ktk hilo! Ni wale wajumbe walioko kwenye Bunge la Katiba! Au katibu mkuu wa chama?

Ebu nifafanulie vizuri hapo mkuu! Na utoe sababu yenye mashiko na mahusiano yenye mlengo unaofanana na tukio linaloendelea mpaka sasa hapo Bungeni....
 
Halafu nafasi yake ashike Ben Saanane, mlezi wa kitoto cha Josefina akiwa safarini.
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kuwa UKAWA wametusaliti sana juzi kukubali mseto wa kupiga kura.
Nampongeza sana Godbless Lema kwa kuamua kutokupiga kura jana.
 
na sisi wananchi tupewe hiyo fursa ya kupiga kura ya wazi au ya siri, isiishie kwa wabunge tu,vinginevyo tutajua kwamba kulikuwa na hila ndani yake
 
Ukweli ni kuwa UKAWA wametusaliti sana juzi kukubali mseto wa kupiga kura.
Nampongeza sana Godbless Lema kwa kuamua kutokupiga kura jana.
lema ni jembe ila pamoja na mawazo niliyomtumia jana kama hakuyapata naomba tena na sisi wananchi wa kawaida tutakapokuwa tunapiga kura tupewe hiyo fursa ya kila mtu kuchagua kupiga kura ya wazi au ya siri isiishie kwenye bunge tu.
 
Ukweli ni kuwa UKAWA wametusaliti sana juzi kukubali mseto wa kupiga kura.
Nampongeza sana Godbless Lema kwa kuamua kutokupiga kura jana.
nawaomba UKAWA na wabunge wote walioko dodoma watupe na sisi wananchi fursa ya kupiga kura ya wazi au ya siri kama walivyoamua kwao, isije kuwa kwao waone ni sawa alafu kwetu waone si sawa
 
Kwanini Dr Slaa na siyo Mh Mbowe au Mh Tundu lissu!!?

Ni nani ambaye anatakiwa ajitoe ktk hilo! Ni wale wajumbe walioko kwenye Bunge la Katiba! Au katibu mkuu wa chama?

Ebu nifafanulie vizuri hapo mkuu! Na utoe sababu yenye mashiko na mahusiano yenye mlengo unaofanana na tukio linaloendelea mpaka sasa hapo Bungeni....
hapajaharibika neno lamsingi na sisi wananchi wa kawaida tupewe fursa hiyo ya kila mtu kupiga kura anavyotaka ya wazi au ya siri, ikishindikana ndio tutaelewa kwamba ilikuwa hila ya ccm lakini kama ccm walikuwa wanatetea haki nategemea watakuwa msitari wa mbele kutaka na sisi wananchi tupige tunavyotaka kama walivyofanya wao
 
Slaa na mbowe watoke kuinusuru chadema
hakuna aja ya viongozi wa chadema kujitoa la msingi ni kupendekeza na sisi wananchi tupate hiyo fursa ya kupiga kura kama wao mwenye kutaka ya siri apige na mwenye kutaka ya wazi apige kama walivyofanya wao
 
dr.slaa anatamani sana kustaafu siasa, tatizo bi.josephin mushumbus ana hamu sana ya kuwa first lady
 
Hapa nimefikiria kumuomba Dr. Ang'atuke km mkuu wa taasisi iliyotusariti! Wabunge wale 201 wote kwa makundi yao wao ndo walioanza mapema kujidhalilisha kwa kupewa wali ili waunge mkono mapendekezo ya ccm! Hilo halihitaji kuwa umesoma kuwajua wako upande gani!? Matokeo ya jana ni jibu tosha. Me nakuambia ukweli mkuu,km dr. Anataka kuendelea kuheshimika bora ajitoe mapemaa! Wabunge wetu wa chadema,wanashiriki kubariki katiba ya ccm ambayo itakuwa mbovu kuliko hata hii iliyopo. Ww subiri hadi mwisho utakubali maneno yangu
hakuna haja ya kutafuta mchawi lamsingi na sisi wananchi wa kawaida tupewe hiyo fursa ya kupiga kura ya wazi au ya siri kama walivyojipa wao
 
Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini. Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda kukupa ushauri ambao pengine inaweza kukuwia vigumu kuuamua! Kutokana na hali halisi inayoendelea ktk Bunge LA katiba,ni dhahiri hakuna tena katiba mpya bali ni katiba ya ccm. Hakuna tena uwezekano wa upinzani kuleta mabadiliko yoyote ktk mambo yote yaliyoletwa na ccm. Wabunge wetu wametusariti! Tuliwashauri wajitoe mapema lkn wakashindwa kuacha posho ya laki 3. Kwa maantiki hiyo,nakusihi UNG'ATUKE nafasi yako ya juu ya Chadema! Hii itakuongezea heshima kubwa miongoni mwa jamii. Baada ya bunge la katiba,ni vigumu sana kwa upinzani kuaminika kwa wananchi,naamini utapima kwa kuangalia uzito wa heshima yako na matokeo ya kura za Jana ktk kuamua namna kupiga kura. Nawasilisha..!

Ulishauri wabunge wajitoe mapema kwani wangejotoa ccm wangesema sasa tuwasamehe tuunge mkono maoni ya wananchi au ndo wangesherekea kwa kupata mwanya wa kupitisha vifungu bila kupingwa.kwa taarifa yako wangejitoa kwenye mchakato ccm wangejifanya miongoni mwa wananchi baadae na kusema hao wamekimbia mchakato na kutuharibia tusipate katiba bora kwani walijuaje kwamba hatutaunga mkono vifungu vingine? Hapo ndipo ccm wangepata mwanya wa kuuponda upinzani na kusema walikimbia ili wananchi msipate katiba na kumbuka hao watakao sema hayo ni ccm wakijifanya wananchi.

Kuhusu Dr.slaa kujiuzuru kwani yeye ni mjumbe wa bunge la katiba? Kama unadhani Chadema ni wengi ndani ya wabunge 640 umepoteza sifa ya hoja zako hapo juu. Pengine unamuogopa Dr.Slaa sasa unataka kupotosha umma eti unamheshimu sana kama unamheshimu kwa nini usiungane nae kulenda ukombozi wa kweli kabla ya uhai wako na Dr.slaa! Acheni kutumika mkijifanya wapenzi wa wananchi kumbe na wewe ni miongini mwa waujumu uchumi kama wale makada wenzako.

Mwisho nawapongeza UKAWA kwa kupambana kupata kanuni ya kupiga kura ya siri wakishirikiana na Kangi Lugola na wabunge wengine wa ccm lakini uchache wao umetuangusha.wapambane mpaka mwisho tutachambua pumba ni zipi na Mchele ni upi.let them procced .
 
Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini. Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda kukupa ushauri ambao pengine inaweza kukuwia vigumu kuuamua! Kutokana na hali halisi inayoendelea ktk Bunge LA katiba,ni dhahiri hakuna tena katiba mpya bali ni katiba ya ccm. Hakuna tena uwezekano wa upinzani kuleta mabadiliko yoyote ktk mambo yote yaliyoletwa na ccm. Wabunge wetu wametusariti! Tuliwashauri wajitoe mapema lkn wakashindwa kuacha posho ya laki 3. Kwa maantiki hiyo,nakusihi UNG'ATUKE nafasi yako ya juu ya Chadema! Hii itakuongezea heshima kubwa miongoni mwa jamii. Baada ya bunge la katiba,ni vigumu sana kwa upinzani kuaminika kwa wananchi,naamini utapima kwa kuangalia uzito wa heshima yako na matokeo ya kura za Jana ktk kuamua namna kupiga kura. Nawasilisha..!

Naamini siku ikitangazwa SLAA hayupo kuna watu wata celebrate.
 
Dr Slaa was, is and will be disastrous Chadema's party secretary ever been.
 
Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini. Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda kukupa ushauri ambao pengine inaweza kukuwia vigumu kuuamua! Kutokana na hali halisi inayoendelea ktk Bunge LA katiba,ni dhahiri hakuna tena katiba mpya bali ni katiba ya ccm. Hakuna tena uwezekano wa upinzani kuleta mabadiliko yoyote ktk mambo yote yaliyoletwa na ccm. Wabunge wetu wametusariti! Tuliwashauri wajitoe mapema lkn wakashindwa kuacha posho ya laki 3. Kwa maantiki hiyo,nakusihi UNG'ATUKE nafasi yako ya juu ya Chadema! Hii itakuongezea heshima kubwa miongoni mwa jamii. Baada ya bunge la katiba,ni vigumu sana kwa upinzani kuaminika kwa wananchi,naamini utapima kwa kuangalia uzito wa heshima yako na matokeo ya kura za Jana ktk kuamua namna kupiga kura. Nawasilisha..!

Si ugeanza wewe kuachia ngazi? Au wewe uko upande wa wale wanaoshangalia upuuzi wa CCM? Kama ndivyo ni nini maana (logic) ya ushauri wako kwa Dr W.P. Slaa? Na nini hasa connection ya Bunge la Katiba, na Dr. Slaa na Kujiudhuru kwake na wapi CHADEMA kama General Secretary au Kama mjumbe wa Bunge hilo? Au Dr Slaa alilipelekea hadidu za rejea bunge hilo na sasa zime-fail na hivyo aachie ngazi? I completely don't get you!!
 
Ulianza vizuri uzi wako. Dr. Slaa na cdm wako makini juu ya linaloendelea bunge la katiba. Kujiuzuru kwake au kujitoa cdm ktk mchakato huu hakuwezi kusaidia kwa sasa. Ujue watanzania wengi wamepumbazwa na ccm kwa miaka mingi, hivyo kuwemo na kuendelea kuwemo kwa wajumbe wa upinzani ktk bunge ndo njia sahihi ya kupazia sauti yaleyasiyofaa. Ninajua hali ikiendelea ovyo ovyo ktk mijadara hiyo cdm haitavumilia lakini ni pindi tu itakapobidi kufanya hivyo.

Hikitokea wakajitoa mapema kiasi ambacho watanzania hawajatambua upuuzi wa wajumbe wa ccm ktk bunge ilo itakuwa ni janga kwa upinzani. Ni lahisi sana watanzania kuaminishwa kuwa cdm imevuruga mwenendo wa katiba na mambo mengine kama hayo.

Mfano mzuri ni mjadara wa kura ya siri au wazi....pointi moja wamejivunza watanzania ni kuwa kura ya wazi inaweza kutumika hata ktk chaguzi nyingine....tunaomba mjadara huo uliowagharimu watanzania mamilioni ya pesa uwe na 'reflection' ktk katiba mpya...nina maana hata chaguzi za wabunge tunaweza kufanya kura ya wazi.

Ushauri wako ungetiliwa maanani kama usingeitimisha na malipo ya wajumbe na kujiuzuru kwa DR. siku zote dr amekuwa mwiba kwa magamba. Tunamwomba Mungu amlinde usiku na mchana na tutuaonana nanyi (magamba) 2015. Mboreshe daftari, msiliboreshe...tunajua jambo moja tu..'kurudisha heshima ya Tanzania kupitia dr. Slaa'
 
Back
Top Bottom