ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 649
- 587
Me namshauri ajitoe ang'atuke cheo chake. Anaweza kubaki kwenye siasa km mshauri tu. Nahisi kutakuwa na matokeo mabaya zaidi mbeleni kutokana na udhaifu waliouonyesha wabunge wetu. Njia pekee ya kumfanya aendelee kuonekana lulu,ni kujitoa tu!Kwa nini Dkt Slaa tu? Je, unashauri ang'atuke kwenye siasa, au ajing'atue Ukatibu Mkuu wa Chadema?
Yeye siyo mjumbe,lkn kitendo cha taasisi anayoiongoza ku-fail,inatosha kumfanya atafakari!Slaa nae ni mjumbe?.
Mimi nilijua slaa yuko kijijini kwao ana cooldown baada ya kipigo cha Lukaya,..oh sorry i mean kalenga?
Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini. Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda kukupa ushauri ambao pengine inaweza kukuwia vigumu kuuamua! Kutokana na hali halisi inayoendelea ktk Bunge LA katiba,ni dhahiri hakuna tena katiba mpya bali ni katiba ya ccm. Hakuna tena uwezekano wa upinzani kuleta mabadiliko yoyote ktk mambo yote yaliyoletwa na ccm. Wabunge wetu wametusariti! Tuliwashauri wajitoe mapema lkn wakashindwa kuacha posho ya laki 3. Kwa maantiki hiyo,nakusihi UNG'ATUKE nafasi yako ya juu ya Chadema! Hii itakuongezea heshima kubwa miongoni mwa jamii. Baada ya bunge la katiba,ni vigumu sana kwa upinzani kuaminika kwa wananchi,naamini utapima kwa kuangalia uzito wa heshima yako na matokeo ya kura za Jana ktk kuamua namna kupiga kura. Nawasilisha..!
Yeye siyo mjumbe,lkn kitendo cha taasisi anayoiongoza ku-fail,inatosha kumfanya atafakari!
Uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze ni teke la mwisho la marehemu mtarajiwa Chadema! Kushindwa kwa Chadema Chalinze itakua ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la Chadema baada ya ile misumari ya awali ya CHOPA 3,KATA TATU NA ULE WA KALENGA!
Pamoja na kupigana kwao kufa na kupona ili wajinasue na balaa hili, juhudi zao zimekua sawa na kujaribu kumwongezea damu marehemu!!
RIP CHADEMA
Una hoja ya msingi,kinana hawezi kung'atuka na sababu ni moja tu ccm wamefanikiwa kwa karibu kila kitu ktk bunge la katiba. Cuf kwa upande wao,sina tatizo kwa sababu chama chao bado kimeimarika upande wa Zanzibar ambako ndiyo kina nguvu kubwa! Na huenda km mfumo wa serikali 3 hautapita,cuf kwa upande wa Zanzibar hawatakubali! Kuhusu chadema,ndo chama Kikuu cha upinzani,na suala la katiba lilikuwa ktk ilani yao! Kitendo cha kuendelea kukubali hoja za ccm ni kuonyesha kushindwa! Ndo maana nikamshauri km kiongozi mkuu wa,taasisi hiyo kubwa hapa nchini,ang'atuke ili aendelee kuaminika!Kwa maana hiyo hata Kinana, Seif Shariff Hamad, na wale wa Nccr, Tlp, Udp nao wajiuzulu!? Mbona ushauri wako umepindia upande mmoja, utaepuka vipi kutiliwa shaka kuwa una agenda yako ya siri katika pendekezo lako hili.!?
Una hoja ya msingi,kinana hawezi kung'atuka na sababu ni moja tu ccm wamefanikiwa kwa karibu kila kitu ktk bunge la katiba. Cuf kwa upande wao,sina tatizo kwa sababu chama chao bado kimeimarika upande wa Zanzibar ambako ndiyo kina nguvu kubwa! Na huenda km mfumo wa serikali 3 hautapita,cuf kwa upande wa Zanzibar hawatakubali! Kuhusu chadema,ndo chama Kikuu cha upinzani,na suala la katiba lilikuwa ktk ilani yao! Kitendo cha kuendelea kukubali hoja za ccm ni kuonyesha kushindwa! Ndo maana nikamshauri km kiongozi mkuu wa,taasisi hiyo kubwa hapa nchini,ang'atuke ili aendelee kuaminika!