Ushauri wenu

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Habari za kazi wana JF. Naomba tusaidiane kumshauri huyu dada yetu.

Kuna dada nafahamiana naye vizuri yupo Dar na ana mtoto mmoja alizaa na bwana miaka kumi iliyopita. sasa nanasema amepata bwana wa kikongo ambaye amehamia kwake na wanaishi pamoja ila huyo bwana kipato chake kidogo na yeye dada mambo yake siyo mabaya kwakweli. Ila kwa ufupi huyo bwana alikuwa na watoto watatu huko kwao sasa anataka awalete watoto wake hapo kwa huyo dada. Wasiwasi wa dada ni je huyu jamaa anampenda kweli au anataka kumletetee mizigo tu kwani jamaa hajawa stable na maisha yake bado.
 
Hii ni kizungumkuti!
Ina maana huyu bwana hana mke huko kwao? usikute anahamisha watoto hao kiaina kama kuwaficha huku bongo.Vipi amletee mwenzie mzigo mkubwa hivyo wakati chenjichenji zinasuasua?..
Anyway, Masuala ya kipato si hoja kama wanaelewana na kupendana!
 
asithubutu kumkubalia......mwambie huyo rafiki yako hilo pedeshee linamchuna...wakongo ndio tabia yao hiyo
 
Congo ndo kuna utajiri wa dhahabu na Sebene... Kwa nini hamwambii waende Congo yeye anataka alete mzigo mwingine... Wazazi/Mzazi wa hao watoto wako/yuko wapi?? Halafu asije akapata matatizo kwa kumtunza Illegal Immigrant... I think there is so many things to consider. Wacongomani wako kama Nigerians... Masilahi mbele. Mwambie awe makini
 
Amwondoe haraka.. Hao ni MATAPELI nambari one.. Yalishamkuta Dada mmoja, baada ya kutumia pesa yake yoooote, akaondoka na baadhi ya samani za huyo Dada..
 
Habari za kazi wana JF. Naomba tusaidiane kumshauri huyu dada yetu.

Kuna dada nafahamiana naye vizuri yupo Dar na ana mtoto mmoja alizaa na bwana miaka kumi iliyopita. sasa nanasema amepata bwana wa kikongo ambaye amehamia kwake na wanaishi pamoja ila huyo bwana kipato chake kidogo na yeye dada mambo yake siyo mabaya kwakweli. Ila kwa ufupi huyo bwana alikuwa na watoto watatu huko kwao sasa anataka awalete watoto wake hapo kwa huyo dada. Wasiwasi wa dada ni je huyu jamaa anampenda kweli au anataka kumletetee mizigo tu kwani jamaa hajawa stable na maisha yake bado.
Kabla hujampa ushauri kwanza muulize,
1.Yeye huyo dada mwanae wa miaka 10 yupo wapi? wataishi nae?
2.Mkongo wameishi nae kwa muda gani?
3.Mama wa hao watoto 3 yuko wapi? bado ni mkewe au la?
4.Mama wa hao watoto akiamua kuja waona wanawe Dar yupo tayari kuishi nae?
5.Ndugu/wazazi zake huyo mama na ndugu/wazazi wa mcongo wanajua huo uhusiano?
Majibu ya hayo maswali yatakupa mwanga zaidi wa nini cha kufanya.
Kwa kawaida binadamu huzua jambo,jambo likawa tatizo, mwisho likawa tatizo kubwa kabisa likamzidi na kumshinda.
HE, UNAULIZA KAMA ANAKUPENDA? akupendae ni yule anaekupa raha zote,anakujali na kukutunza hakuongezei matatizo ila hupunguza matatizo yako kama si kuyamaliza.(huyu mcongo anaongeza matatizo ya watoto 3 au anapunguza?)
Hata kama kazi yake ya salon au muziki sijui, ikichanganya, sidhani kama anafaa.
 
shida ya Dada/mama/Shangazi zetu wa kibongo, wakisikia ni foreigner tu, bila hata ya kujiuliza mara mbili wanajiachia kabisa, 90% ya wageni wanaokuja ni kutafuta maisha tu na kisha kupita njia
 
Anasema huyo mama wa watoto watatu walishaana na ameoolewa tayari. na huyo dada yangu yupo na mtoto wake wa miaka kumi anamlea na kumsomesha yeye peke yake.
 
Habari za kazi wana JF. Naomba tusaidiane kumshauri huyu dada yetu.

Kuna dada nafahamiana naye vizuri yupo Dar na ana mtoto mmoja alizaa na bwana miaka kumi iliyopita. sasa nanasema amepata bwana wa kikongo ambaye amehamia kwake na wanaishi pamoja ila huyo bwana kipato chake kidogo na yeye dada mambo yake siyo mabaya kwakweli. Ila kwa ufupi huyo bwana alikuwa na watoto watatu huko kwao sasa anataka awalete watoto wake hapo kwa huyo dada. Wasiwasi wa dada ni je huyu jamaa anampenda kweli au anataka kumletetee mizigo tu kwani jamaa hajawa stable na maisha yake bado.[/QUOTE]

Jamani huu si ndio wanaita unyonyaji?

Annina
 
......Huyo dada naye anajitafutia mzigo, yaani itabidi kulea mwanaume na watoto wake.
 
Habari za kazi wana JF. Naomba tusaidiane kumshauri huyu dada yetu.

Kuna dada nafahamiana naye vizuri yupo Dar na ana mtoto mmoja alizaa na bwana miaka kumi iliyopita. sasa nanasema amepata bwana wa kikongo ambaye amehamia kwake na wanaishi pamoja ila huyo bwana kipato chake kidogo na yeye dada mambo yake siyo mabaya kwakweli. Ila kwa ufupi huyo bwana alikuwa na watoto watatu huko kwao sasa anataka awalete watoto wake hapo kwa huyo dada. Wasiwasi wa dada ni je huyu jamaa anampenda kweli au anataka kumletetee mizigo tu kwani jamaa hajawa stable na maisha yake bado.

The lowest of them who take advantage, use and abuse one's kindness. Usione hao wanatafuta maisha bora hapa Tanzania na uraia. Run sista run....
 
Back
Top Bottom