hodi jaman ushaur wenu mwenzenu sijuh niseme ni kaugonjwa au ni nini.....? mm nimwanaume/bado kijana tatizo langu ni kwamba tangu nimeyajua mapenzi sijawai kuwa na mpenz kama si mchumba wakusema nikijisikia au kushea nae kwa jambo lolote ama nikimuhitaji mda wwote nakuwa nae kiukweli napata sana shida napo ona kila mtu ana mtuwake nataman nami iwe ivo lakini ndo ivo tena tatizo nipale nisha shikwa na ''mshindo'' alafu waku mtolea uvivu ni emty napia nimejikuta sina mzuka na vijana wenzangu na sitaki kuwaona kabisa hisia zangu ni kwa wamama tu napata shida sana wadau na inapita miez sija nanii kabisa zaidi ya kuchafua mashuka tu. angalizo nimwanaume nilie kamilika ushauri wenu jamani.....*^_^*