Ushauri wenu wakuu nahitaji nafasi ya kujitolea

Ushauri wenu wakuu nahitaji nafasi ya kujitolea

Patrick Pas

Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
5
Reaction score
8
Naitwa Patrick nipo kigamboni miaka 22, namalizia chuo hapa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere, kozi ya human resources management, degree.

Lengo kubwa ni kupata hata sehemu ya kufanya kazi hata kujitolea walau iniweke busy nikiwa nasubiria cheti kitoke ili nianze kuomba kazi official, nadhani hili jukwaa lina wabobezi wakubwa wa haya mambo, nahitaji ushauri zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom