rabiintocavel
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 294
- 233
Chukua harrier hiyo old model four cylinders inafaa, nshakuwa nayo naijua vizuri spea kibao bei nafuu
Bongo utabambikwa bei. Watakucharge mpaka M30. Kama unataka kuagiza itakuwa cheaper zaidi kwako. Ngoja nakutumia link za Befoward hapa hapa ucheki... Utakayoipenda unawambia befoward wakutumie profoma invoice, then unaenda bank kuwalipa na unangoja gari yako ije... Wait a minute.