ushauri wenu unahitajika

ushauri wenu unahitajika

hajaondoka na pesa coz tumeshakwenda bank na kukuta pesa zake zote zipo
 
Wewe umechanyikiwa kwa lipi, kwani yeye ni babako? halafu kama mtu aliondoka akiwa kwake wewe mkwe wake inakuhusu nini? wacha mzee ale mafao ya kazi aliyotaabikia.
asante kwa mchango wako japo ujui unalolisema
 
Back
Top Bottom