Ushauri wenu unahitajika

Ushauri wenu unahitajika

Sina Uhakika

Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Mimi ni msichana kuna mwanaume mmoja nimetokea kumpenda sana kutoka moyoni, ila sijui nianzie wapi kumwambia dukuduku lilipo moyoni mwangu, na tayari nimesha muonesha dalili zote kuwa nampenda.

Ila hana muda na mimi, ndugu zangu naumia sana kila napo ninapomwona.

Nitumie njia gani ili niweze kuwa nae?

Karibuni
 
Umekutana nae katika mazingira gani, kazini,barabarani,mtaani,club,church bar au mnakaa mtaa mmoja, then nitarudi kukushauri madam.
 
hakika mfumo wa kiafrica umewanyima uhuru wadada, hata kumwambia mwanaume unampenda ni ishu! We mwambie tu
 
Ni dalili gani ulizomuonesha mpaka hajakuelewa ili tukubadilishie mbinu
 
Wanaume wanavyopenda papuchi,hawez kukataa huyo. We mpe tu,ila kama una sura mbaya itakuwa tatizo coz atapiga then anakimbia. Wanaume wabaoenda beauty dadas ndo wakudumu nao. Maana wengine sura za mjomba
 
mtongoze kwisha habar tena wanapenda sana kutongozwa heheheheeee
 
Nipe namba yake nimwambie mchizi ,kwani hata akipita tu kutakua na tatizo
?
Maana wanaume wanapendaga sana P za bure na hasa ya mtu mupya...!!
Mweeh Love ni 50~50 kama vipi piga nae tu hata crush Roho ikwatuke
 
Hembu nipe number yake alafu mie nikamtupie sound kuwa wampenda sawaeee.......Cc mamafacebook
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni msichana kuna mwanaume mmoja nimetokea kumpenda sana kutoka moyoni, ila sijui nianzie wapi kumwambia dukuduku lilipo moyoni mwangu, na tayari nimesha muonesha dalili zote kuwa nampenda.

Ila hana muda na mimi, ndugu zangu naumia sana kila napo ninapomwona.

Nitumie njia gani ili niweze kuwa nae?

Karibuni

Asee una hakika umeonesha dalili.zote za kumtaka
 
Hembu nipe number yake alafu mie nikamtupie sound kuwa wampenda sawaeee.......Cc mamafacebook

Ahhhha yaan nilitaka kumuuliza hiv hata kutafta namba ya sim kashindwaaaa
 
Last edited by a moderator:
loading error.....................................
 
muulize tu kama anapenda chapatti...halafu pika chapati mpelekee......asipoelewa hiyo jua hakutaki...
 
muda n muhimu ktk kutmiza ndoto zako!
hebu jarbu kuangalia anapendelea vi2 gan na share nae then ufunguke practcaly
 
Hizi nizama za ukweli na uwazi, ukimpenda, ukimtaka mtu mwambie ukweli tu.
 
Back
Top Bottom