Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,726
- 3,494
Wachaga wanapenda harusi kama ni binti atataka afanyiwe send off ikatwe ndafu pale ndgu waje wacheze waone kweli binti yao kaolewa. Kwan yeye ni dini gani maana usikute dini hamlandani!
Bro mbona kama muongo muongo, mara mwanasheria mara daktari, au wapo wengi, unataka kufanya seleksheni
Wachaga wanapenda harusi kama ni binti atataka afanyiwe send off ikatwe ndafu pale ndgu waje wacheze waone kweli binti yao kaolewa. Kwan yeye ni dini gani maana usikute dini hamlandani!
Alafu mwanachuo yupo mwaka wa pili. Law nahisi ni miaka 4... mzumbe...
Yani hapa kuna matatizo juu ya problem.... jiandaeChukulia dini zetu zinaendana.! Mie dini hazina uzito wowote..! Mambo ya dini kwangu hayana nguvu kabisa nusu ninaamini nusu siamini mambo ya dini ila Yeye ni MKKKT
Sent from my iPhone using Tapatalk
MitatuAlafu mwanachuo yupo mwaka wa pili. Law nahisi ni miaka 4... mzumbe...
Sent From Galaxy S9
Sina neno mkuu.Mchaga halafu mwanasheria Mkuu ulikuwa unamaanisha nn maana hongera Zaid ya moja umempa fafanua mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewa hata hiyo sheria uliyosema ni kuepusha kujulikana wala hamna shida.Chukulia dini zetu zinaendana.! Mie dini hazina uzito wowote..! Mambo ya dini kwangu hayana nguvu kabisa nusu ninaamini nusu siamini mambo ya dini ila Yeye ni MKKKT
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ok sawa ila bado swala la sherehe kwa mchaga halikwepeki wewe jipange tuAkiwa daktari, vipi hapo ?? Ni Mwanafunzi wa Udaktari Chuo kipo mbeya Rufaa..! Nimetumia ile taaluma ila yeye ni Mwanafunzi wa udaktari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hiyo avatar uiondoe maana unatutamanisha au unataka Smart911 achekee chooni
Mkuu kwanza kabisa acha kupigia mahesabu mwanafunzi. Hawa huwa na betting ngingi saana za maisha. Nadhan ungesubiri amalize shule kisha ndio umueleze akili ikisha komaa
23yrs umwambie aolewe bila sherehe ni ngum saana kukuelewa.
Pia usifocus kwa bint mmoja uwe na sample space kadhaa hivi ndio uchague
Sent using Jamii Forums mobile app