...then mwambie mrudiane.Tumeacha kwa sababu zisizokuwa na msingi sikuona sababu ya yeye kuniacha kama kweli ananipenda lakini! Lakin ckutaman aniache
Tumeacha kwa sababu zisizokuwa na msingi sikuona sababu ya yeye kuniacha kama kweli ananipenda lakini! Lakin ckutaman aniache
Mmoja alijitibu kwa kufanya hivi, alimbembeleza x wake mpaka akampigia na magoti kwa kuwa yeye ndiye alikuwa ameachwa! Jamaa likajua demu kajirudi so nitampelekesha nitakavyo kumbe demu ana lake kichwani, alipokubaliwa tu akahakikisha kuwa jamaa nae kamrudia mzima mzima then akamuacha ghafla (kwamba uliachwa sasa unaacha!!)
Relief yake ikatokea hapo, ila unatakiwa uwe imara kweli kweli mana unaweza usiweze kumuacha tena!!
...then mwambie mrudiane.