Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,540
- 31,590
Basi njoo twende wote kama huniamini kwani shida ninišSaa tano usiku ndo mida ya kuondoka kwenda out? Halafu unaendaje club bila mimi - yaani ukashikweshikwe na wanaume wengine walevi huko huku mimi nikiwa sina habari? Kuwa serious babe.