Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
- Thread starter
- #21
Soma vizuri ueleweKwa umri wako wazazi wako ni wa kulaumiwa sana.
Yani bado unawategemea wazazi,rudi tu kwenu ukazeekee hapo tu.
Soma vizuri ueleweKwa umri wako wazazi wako ni wa kulaumiwa sana.
Yani bado unawategemea wazazi,rudi tu kwenu ukazeekee hapo tu.
Ndio ninachokwepa mkuu""UKITAKA KUIONA DUNIA HII CHUNGU OWAA MWANAMKE MFUPI""
Pensheni ya mama ndio ananipa mwenyew lakin mzee wangu ana kituo chake cha afya so tutakula mpaka wajukuu wangu mana mimi mwenyew ndio Fani yangu ila anahitaji nikae serikaliniYaaniiii! bado unawapukutisha wazee wako vipensheni[emoji3][emoji3][emoji3]we ni nowmer!
Nitakuwa namvalia kiremba kama mzee mengiNi kweli mkuu. Tatizo ni hii dhana ya kuwa wanaume hawahitaji ndoa.. Umri ukienda ndo wanashtuta hapo sasa anatamani kuoa labda aoe mtu mzima mwenzie, akioa dogodogo, atasumbuka naye kwa kuwa mme anakuwa hawezi kuendana na kasi ya kijana...
Kumbuka nadinda na nazalisha vizur na pesa ya kuhonga ninayoTafute mume akuweke ndani
Kuoa mwanamke mfupi ni udhaifu mkubwa sanaKwa hiyo wanaume wote ni warefu?
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO.Nimekuwa kijana mwenye umri wa miaka 35 lakin kuna vitu vingi nimekutana navyo ambavyo vimeniharibu kabisa akili mpaka kufika hatua ya kutofikilia kuoa na nimepigana sana na hari hiyo kiukwel mwenzenu nimeshindwa na huku kila siku nagombana na wazazi kuhusu suala hilo lakini ilifika kipindi nikawaambia ukwel kuwa siji kuoa.
Sababu zinazonipelekea huko;
1. Always nimekuwa niki date na mabinti wa miaka 19 mpaka 23,yaani mwanamke akiniambia nina below 18 naachana nae na akiniambia nina 23 above naona tatizo la kuja kuniganda mbeleni.
2. Wanawake wengi wa siku hizi nawaona copy sana sijui sababu ya kuishi mijini hata sielewi mwenzenu, so yeyote ninae kutana nae huwa siwatamani zaidi nione ana sura bado mbichi za miaka niliyoitaja hapo juu.
3. Hata nikikaa na mwanamke miaka miwili labda kanivumilia ukivuruge wangu bado age yake ikigonga 24 tu hapo hapo naachana nae, Later naanza kujilaumu kwann nisingekomaa nae labda mind yangu ingechange ningeoa lakini holaa. narud kutafuta age ninazozipenda tena.
4. Toka kuzaliwa sijawah kumpenda mwanamke zaidi nawatamani tu,then tukishakuwa kwenye mahusiano naishia kuwatesa sana kiakili mana mostly of the time anaona sina time nae..Hata mwanamke niliezaa nae aling'ang'ana kupigania penzi lake kwangu lakini ilikuwa ngumu mana sikuwah kumpenda ila yeye alinipenda kiasi kwamba ali risk vitu vingi kwa ajiri yangu.
5. Uwezo wangu wa kawaida kifedha ingawa natoka familia ambayo baba(Daktari) na mama(Mwalimu mkuu) mstaafu wanajiweza kiuchumi vizuri nami naishi kwa kujitegemea ingawa nina backup kubwa sana ya wazazi so naona kama nikioa mwanamke nitampa nini wakat uwezo wangu ni kupata hela ya kula kulipa kodi chumba sebule na kuvaa vya ziada wananipa wazazi.
6. Mentality yangu inaniambia nikioa mambo ya kidunia namwachia nani mana nimezoea muda mwingi kukaa na washikaji kunywa kufurahi kukaa na hao wanawake zangu wengine lakini wakifika age hiyo hapo juu nawa dump.
Ushauri wenu ni muhimu ndugu zangu mana hapa nilipo hata sielew nitafanya nin,sababu nyumbani nikirud kila siku ugomvi na wazazi na dada zangu kila siku simu za kutosha mana mimi wa kiume peke yangu na ndio Last born macho yao wote kwangu.
unafikir wanavyozid kukuwekea hela wanakusaidia chief? sio kila unachopewa unasaidiwa mzee vingine unalemazwa. hebu fikiria wao waliwekewa na nani au wewe huitaji kutoa kitu unapokea tu. hiv kweli kwa mawazo yako mwanao si ndio atakuwa poyoyo kabisa mzee.Samahani kama sikueleka wazazi ndio wanaweka pesa muda wote katika account zangu siwaombi nao husema sabb mimi ndio wa mwisho inatakiwa kilichochao,nina dada watatu na wote wameolewa na waume wenye ukwasi mrefu ingawa sijawah kuwa karibu nao wala kusaidiana nao.
Nimepanga sema home ni hapahapa town,pia tulishazoezwa mara nyingi wikend lazima tuwe home hata dada zangu wanakuja na familia zao so tunaonana mara kwa maraBob sijaelewa.
Kwahiyo umepanga chumba na sebule.
Ila kila siku ukirudi nyumbani ugomvi na wazazi na dada zako.
Haya sema ukweli. Umepanga au unaishi kwenu?
hahahahahacase yako ni ngumu.....
hata upepo wa kisulusuli ukikuona upepo unakimbia wenyewe....
Nina watoto wawili na wote wanaishi na mama yangu pale home pia wanasoma shule nzuri sanaMkuu Tambua Tu Kwamba Unawachelewesha Watoto Wako Kuaza Shule Wewe Haya Tu!!.
Wanangu wanaishi na bibi yao so acha life liendelee mana naona ushauri hapa sitapi zaidi mnanidhiakiunafikir wanavyozid kukuwekea hela wanakusaidia chief? sio kila unachopewa unasaidiwa mzee vingine unalemazwa. hebu fikiria wao waliwekewa na nani au wewe huitaji kutoa kitu unapokea tu. hiv kweli kwa mawazo yako mwanao si ndio atakuwa poyoyo kabisa mzee.
Samahani kama sikueleka wazazi ndio wanaweka pesa muda wote katika account zangu siwaombi nao husema sabb mimi ndio wa mwisho inatakiwa kilichochao,nina dada watatu na wote wameolewa na waume wenye ukwasi mrefu ingawa sijawah kuwa karibu nao wala kusaidiana nao.
Wewe kama wazazi wako walicheza ujanani ni wewe wenzio maisha tulishaandaliwa so ni kusukuma tu mlevi...Subiria tu kugombania urithi na dada zako mkuu huna unachokiweza. Miaka 35 unategemea wazazi tena wastaafu! [emoji34][emoji34]
Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni. Wewe ulikuwa wa kutoa kafara tu huna faida.