simple one
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 168
- 69
there is this friend of mine, amedate na guy wake for 2 good years, the guy alishamwambia the lady kuwa kuna gal aliwahi kuzaa nae but relation ishaisha long coz hawakuwa na future its jus one nyt stand and goal, the lady agreed kuwa na guy atatoa matumizi ya mtoto and the like but no relation with the mother. life goes on surprisingly the gal(mwenye kid) kamfata the guy kumwambia anataka wakae pamoja walee mtoto, the guy akashindwa kumfukuza(kwa madai yake kuwa anamwonea huruma na anaeza mdhuru mtoto) kamwambia the lady wanakaa kwa muda walee mtoto and nothing kinachoendelea like love, sasa the lady anaomba ushauri je amtrust the guy kuwa hawana relation yoyote inayoendelea ni wanalea tu mtoto then gal asepe, au ndo mwanaume anamdanganya, kumbuka kuwa mwanaume anamhakikishia the lady kuwa anampenda sana na wala asiwe na hofu kuhusu huyo mzazi mwenzie coz hakuna mapenzi tena. advice the lady...:A S confused::A S confused::A S confused:

Hivi wewe umeshindwa kuandika kwa lugha iliyo fasaha?
Hizi lugha zenu mziache hukohuko mitaani kwenu
Kwa namna hii hata kufikiri kwenu ni hasara kabisa!

anafanya mazoezi ya namna ya kuitumia lugha ya kigeni
hahahaaaah!... the guy the gal
and the gay is shameless.