Ushauri wenu please

Ushauri wenu please

KITWANGAUTAM

Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
80
Reaction score
18
wanajamvi mimi nimepata kaz shule binafs, nina degree BAED lakin wenyeshule wanataka nisain mkataba wa miaka 3 kwa mshahara wa Tsh 450000, je nisain au nimsubr 0lugo?
 
Angalia mazingira ya kazi, masharti ya mkataba katika ongezeka la mkataba, allowances wanazokupa. Je hiyo hela ni baada ya makatao kodi, mfuko wa hifadhi? Pia angalia security of tenure
 
wanajamvi mimi
nimepata kaz shule binafs, nina degree BAED lakin wenyeshule wanataka
nisain mkataba wa miaka 3 kwa mshahara wa Tsh 450000, je nisain au
nimsubr 0lugo?

ukisikia mtihan ndo huo cz huo mshahara unakaribiana na wa gorvement na kufanya kaz gvt kuna faida kwasabab hubanw sana tofaut na private ambapo wanafanya effectiv utilization of labour. japo huwezi jua utapangwa wapi ila ningekuwa mimi ningesubiri post za gvt kwasababu ntapata na kamda ka ziada kufanya mambo mengine ikiwemo kuendelea na masomo na ujasiriamali. miaka mitatu mingi ati. ni mtazamo tu.
 
Sante sana ...csain hiyo kitu
 
Sante sana ...csain hiyo kitu

Ngoja nikushaur kama wakili..kwa kawaida mkataba ni makubaliano ya watu wa pande mbili,na kuna terms zake..lakin pia nikuondoe nhofu kwamba kwa kuwa mkataba kipindin chake ni miaka mitatu,haimaaninsihi kwamba you cannot terminate it!!!you have the right to terminate at any time provided you give one month notice..so kaka kama uko tayar ww saini tu while unamsikilizia Mulugo anasemaje
 
Aswnte kwa ushaur wako murua...
 
sawa atakuwa na haki ya kuteminate contract lkn termination itafanyika pale 2 atakapokuwa kamaliza muda wk yan kabla hajasain mkataba mwingine ht km katoa notice subiri gvt kaka.
 
Kwa pesa iyo usisaini.ukiona private inaanza na iyo pesa si pa kukaa apo.utapiga kaz ka mwandawazimu.mi mwenyewe natafuta sehemu(private)na nimeitwa sehem 2 kwa laki 5 nimekataa kwa sababu no difference na gvt.ukipata pa lak 7 apo mzuka jiamin private mzur zipo.nenda gvt after 1 yr peleka cv yako kwenye private za maana ipo siku utaitwa kwa mshahara wenye kueleweka kama still una ndoto za kufanya kaz private
 
subiri post za gvt kama uliomba,kama haukuomba endelea kutafuta shule.
 
Back
Top Bottom