dorcas1234
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 116
- 34
kufunga=kuacha pu...???? hapo cjakubl wakat kuna watmish kbao n member
kwani hapa tunazungumuzia watumishi? hapa mleta mada anataka ushauri,wewe mshauri bana sio unaanza oo watumishi sijui nini! kwa hiyo? kufunga,kuomba na kutubia hiyo dhambi kutamsaidia sana maana hapo atakuwa amejiweka karibu naMungu na nijuavyo mimi hakuna alikimbilia kwa Mungu akaaibika kamwe,maana sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana bila msaada wa Mungu hatuwezi,so wewe mtoa mada akili kumkichwa.