ulivoandika pu.... nimeshindwa kuelewa ni punyeto ama? kama ni punyeto mgoja niseme yafuatayo...
1. tatizo lako sio sio physical ila ni psychological, unahitaji kupunguza kufikiria ngono muda mwingi, au kuangalia picha zinazochochea ashki.
2. tafuta mbadala, usiache ghafla. soma vitabu, fanya mazoezi, jiweke bize ili usipate muda wa kufikiria puli.
3. tafuta mpenzi ambae utafanya nae, itakusaidia sana kupunguza kupiga hii kitu.
4. punguza kukaa doro, au kukaa na marafiki wenye mawazo au mtazamo kama wako
madhara ya punyeto utayaona baadae, sasa hivi utaona raha ila utaona
Asante kwa ushauri wako ndg.