Ushauri wenu ni wa muhimu kwa hili!

Mkali manyox

Senior Member
Sep 7, 2019
143
154
Wakuu nawasalimia na nawaombea kwa wale wote walio single waweze pitiwa na upepo unaovuma katika nyanda za milima ya moto.

Back to the point, hili jambo limeniwazisha sana. Iko hivi.. kuna dada nilimzalisha miaka hiyo ya kipindi mkwere anaachia nchi, by that time sikuwa na mpango wa kumuoa kwani ndio kwanza nina safar ndefu ya kusoma na ndio kwanza nilikuwa six na hata mpaka anajifungua hakunambia kuwa ana ujauzito wangu, ila hilo sikutia shaka kwamba mimba si yangu kwani mtoto alizaliwa na alinifanania haswa.

Kwa kipindi hicho nilikuwa na dada flani tulikuwa tunapendana sanaa na tumekaa almost 5 years kwa hiyo sikuwa na attention sanaa kwa niliyezaa nae. Unfortunately, manzi niliemuelewa kaolewa mwaka huu na njembaa nyingine baada ya ugomvi wa mara kwa mara kutokana na kuwa mbali.

Baada ya mtoto kunyakuliwa na upepo wa kisulisuli, nikaamua sasa nirudi kwa mama watoto na nikarud full tukayajenga na kuanza maisha mapya ya mapenzi japo napo umbali ukawa ni tatizo. Wakati bado tukiwa kwenye mahusiano nikamuahidi hii December nataka kwenda jitambulisha na kutoa mahari ili nimchukue kabisa awe mke.

Baada ya kumtangazia hayo hivi majuzi kama mnavyojua hii mitandao ya kijamii ina expose vitu vingi sanabalikuea anapost jumbe za kuumizwa kimapenzibalmost one week, nilifikiria kwa nini atume jumbe hizo wakati hatuna ugomvi kwenye haya mahusiano? Basi baada ya kuona jumbe zimekuwa nyingi status nikaamua kumpa pole ya kuumizwa. Reaction yake ilinipa hofu zaidi ikabidi sasa nijifanye kuwa nime trap kila kitu kwenye simu yake na najua A-Z ujinga anaoufanya.

Kwa kweli aliogopa sana na kuanza kujitetea kuwa huwa si yeye anayetumia simu hiyo ila kuna rafik yake anamwazimisha ili kuchati na mpenzi wake. Sikutaka kukubali kirahisi ikabidi niwe na standing point ili kuujua ukweli zaidi. Nilimbana sana ila hakutaka kusema ukweli na aliishia kuomba tu msamaha ila hapa nikaanza kuwa na mashaka ni kwanini aombe msamaha kwa kitu ambacho hajatenda?

Kilichonikatisha tamaa ni juzi sina hili wala lile nikaona kampost kwa status kijana flani wa makamo tu kavalia kichungaji na baada ya muda kamuweka DP, nikavuta picha tu kuwa kuna kipnd alikua ananiambia kuwa anaenda kwenye maombezi kila jion na haikuwa kawaida yake, ila mimi nilimpiga ban kwani najua madhambi hao watu wanaofanya kwa mwavuli wa maombi.

So direct nikaona ndo huyo jamaa ambaye yuko nae kwa sasa. Sasa kwa vile hapa najua kuna watu waliotangulia jua wana chochote cha kunishauri kuhusiana na hili. Je anafaa kuwa mke au nimuache abakie single mother na mimi niendeee na mambo mengine? Kwani naona haya mambo yananiumiza kichwa tu?

Suala la hand writing mnivumilie tu coz huku kuna baridi so vidole vina ganzi.
 
Shtuka hupendwi hapo mapicha picha yote hayo bado huelewi

Ataolewa kama Huyo mwingine alivyokuacha kwenye mataa
 
Mkuu hapo unamlaumu nani?
Umerudi kwake baada ya uliyetaka kumuoa kuolewa na mwingine means mama wa mtoto wako alikua second option ulitaka muda wote awe anakusubiri wewe mwenywe?
Maumivu unayopitia baada ya kumuona na mwingne ndo maumivu hayohayo na yeye alipitia kipindi hiko uko na huyo mwenza wako.
"What goes around comes around"
 
Kipindi chote ulichomtelekeza ulitaka abakie singo anakuombolezea wewe? Alikuwa na mahusiano ila kwa vile mzazi mwenzie umerudi ameona ni bora akupe nafasi familia yenu ikamilike. Mimi nakushauri mpe muda wa kumalizana nao aliokuwa nao kimahusiano ili muwe familia sasa
mkuu unafikir itakua jambo jema tena kumfaya mke kwa haya nnayoyaona?
 
Tafuta chuma kingine uoe..acha kudandia mademu wa watu kwa kisingizio kuwa una mtoto naye..
 
Mkuu hapo unamlaumu nani?
Umerudi kwake baada ya uliyetaka kumuoa kuolewa na mwingine means mama wa mtoto wako alikua second option ulitaka muda wote awe anakusubiri wewe mwenywe?
Maumivu unayopitia baada ya kumuona na mwingne ndo maumivu hayohayo na yeye alipitia kipindi hiko uko na huyo mwenza wako.
"What goes around comes around"
Kwa mm cna cha kupoteza mkuu kwan kama ameshndwq ku hold secnd chance naamishia kwa mwingine
 
Utaoa mwili wake, lakini akili na roho zitakuwa masimbe.. we lazimisha tu.
 
Yeye ana nini cha kupoteza kwako?
alikua kaforce mpk hom maza anamjua ko kaji expose sana kwa familia ila at the end naend ku cancel kila kitu na kubwa zaid nyie ndo mna demand ya ndoa kuliko ss ko kajiaribia yy na c mm
 
alikua kaforce mpk hom maza anamjua ko kaji expose sana kwa familia ila at the end naend ku cancel kila kitu na kubwa zaid nyie ndo mna demand ya ndoa kuliko ss ko kajiaribia yy na c mm
Tunademand ya ndoa kivipi mkuu? Mwenye demand hapo ni wewe. Mwenzio hana hamu ya kuolewa na wewe ukute mawazo yake yapo kwa mwanaume mwingine. We Endelea na plan nyingine
 
Ogopa mwanamke /mwanaume anayepost picha za wanaume sanaa au wanawake sanaaa

HAWA HUWA NI MAKONKODI WA KULIWA AU KULA.
 
Ukiona mwanamke anaandika kuumizwa kuhusu mapenzi na mpo Ok au anampost status jamaa mwingine akimuandikia maneno ya kimapenzi jua Hakuna kitu hapoo...!! Be a man enough to walk away forever and never say anything.
kabixa the boy hapo umenena vyema,kupost status haikua big deal,issue n pale anaanza muweka status mwanaume the haandik chochote kuhusu hyo post
 
Back
Top Bottom