Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Chagua moja.Endeleeni kunipa shauri mbalimbali then mwishoni nitaona ni upande gani umezidi. Then nitafanya maamuzi
Kama kweli anapenda uhasibu afate ushauri huuuMkuu fanya hivi nenda kwenye ualimu serikalini kaa mwaka mmoja ukisha thibitishwa kazini ka wilikilishe cheti chako Cha uhasibu na uombe kubadilishwa muundo utafanyiwa re categorization kuwa mhasibu Kuna uhaba wa wahasibu kwny halmshauri nyingi achana na iyo kazi ya mtu binafsi job security ni 0
Mhasibu unaweza ukawaje mwalimu?umesomea BAF au Bcom accounting unawezaje kuajiriwa kama mwalimu?au huo uhasibu wewe uliosomea ni upi?
Br. Mm nimesoma dip ya ualimu was secondary(Math/Geog) Then nikajiendeleza level ya degree ya BBA in Accounting. So nina qualification zote na pande zote niko vzr japo napenda zaidi Accounts than ualimu.Mhasibu unaweza ukawaje mwalimu?umesomea BAF au Bcom accounting unawezaje kuajiriwa kama mwalimu?au huo uhasibu wewe uliosomea ni upi?
Yaah! Nilianza dip ya Ualimu. Then nikajiendeleza accounts kwa taget ya kubadilisha career kutoka ualimu kwenda uhasibu. NaMi najiuliza apa kwa maana mkuu...ulisomea ualimu afu then ukaenda kusomea uhasibu (degree/diploma)..?
Ushauri wangu,endelea na uhasibu uku ukiwa na akili ya kuwekeza...tatizo nafasi za ualimu zimekuja na upepo wa kisiasa.
Ila kuna watu mnabahati kweli...uku wengine ata intership za uhasibu tunanyimwa Hali ilivyokuwa ngumu.
Mh! Kwa vile wewe bado hujaanza kazi na hiyo company yako ya madini nenda kariport kwanza kwenye ualimu. Maana huwezi jua nn kitatokea usije kosa yote kwa kutaka yote.Aisee hii situation nami imenikuta!
Nilifnya interview kwny kampun ya private inayojihusisha na uchimbaji wa madin mnamo april mwaka huu..nikaambiwa nitaitwa kazin December..sasa kutokana na covid19 ilivopiga company nying hpo katkat nikapoteza matumain ya kuitwa kazin, sasa zilipotangazwa nafac za ualim ikabid niapply fasta....mwsho wa siku huu mwz wa 12 umefika nimepangiwa nikafundishe shule moja ya sekondary ya ufundi ipo mjin sijakaa vizur napigiwa simu kweny ile kampun ya uchimbaj wa madin kuwa nitaitwa week ijayo kwaajir ya mazungumzo ya ile kaz(hiyo week ndo ambayo deadline ya kuriport kazin ualimu ni j3)...hapa nachowaza nikareport ualim alaf niende chap kwny hyo kampun ya madin nikawasikilizie offer yao sijui ntakua nmekosea? daah
Elimu yang ni bachelor of electrical engineering
Mm ni jobless, niponipo tu. Ila pamoja na ujobless wangu, bado siwezi kuwa Mwalimu.
Nashangaa unateseka kuomba ushauri. Yaan uache uhasibu ukawe mwalimu? Kweli!
Unadanganywa halafu unasema BIG UP, hivi unaijua private sector au unaisikia?Big up sana mwanangu
HII NI CHAI. inawezekana hujiu sekta binafsi vizuri. Mwanzoni umesema unafanya kazi kwenye kampuni ya MTU BINAFSI.Yaan ijulikane kwamba kazi yangu sio ya leo wala kesho ni miaka na miaka nikiperfom vzr nitaedelea nayo mpaka hata nistaaf. Na walivyonichukua moja ya swali wameniambia hatutaki ambae tunamuajiei leo kesho anaondoka. Tunataka mtu wa kukaa mda mrefu. So ni mm tu.
Majibu sahihi sina. Nilichotaka ni kuomba msaada kutoka kwenu wanangu wapambanaji wenzangu. Na ndio maana nimeomba msaada wa mawazo kutoka kwenu. Ningekuwa na majibu nisingewafwata kuomba msaada wenu.Kitu ambacho nimemsoma Mtoa mada ni tayari alikuwa na majibu kichwani sasa sijui huu ushauri anautaka wanini!