Nina malengo makubwa sana na ninachotaka ni capital nifanye mambo yangu binafsi baadae kidogoMkuu kama malengo yako ni kuajiriwa forever nenda kufundishe.
But ukinamalengo ya kuja kuwekeza kwenye issue zingine badae piga hiyo kazi ya uhasibu
Kama tayari unalijua hili ndiyo upambane sasa ili kufikia lengo, hiyo capital unayoitaka kwa hiyo plan b unayotaka uiendee walaqhi' utasota sana mpaka ufikishe kiasi unachotaka, na kwanza mpaka unastaafu unaweza usiwe umekifikisha hata, baki uliko!Nina malengo makubwa sana na ninachotaka ni capital nifanye mambo yangu binafsi baadae kidogo
Thanks in deed.Kama tayari unalijua hili ndiyo upambane sasa ili kufikia lengo, hiyo capital unayoitaka kwa hiyo plan b unayotaka uiendee walaqhi' utasota sana mpaka ufikishe kiasi unachotaka, na kwanza mpaka unastaafu unaweza usiwe umekifikisha hata, baki uliko..!
Acha ujinga kijana..Duh! Napata shida sana kuacha mshahara wa 1.5 mil kwa mwezi na kwenda kupokea 500 kwa mwezi.
Bado naendelea kuwashukuru sana kwa shauri zenu. Ni nzuri sana sana na zinanifariji kwa kiasi kikubwa sana